Tabia za Ajabu za Watoto

Tabia za Ajabu za Watoto

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na watoto wenye tabia za ajabu mpaka ukashangaa sanaa unaweza baki na maswali mia kidogo tuanzie hapaa kuna siku nilikuwa naumwa bhna sasa nikaenda Hospitali wakati tumepanga foleni akaja mama na mtoto wa kiume miaka kama mitano hivi aisee yule dogo akawa anasimama alafu anakuwa kama anapinda hivi anaweka mkono kama kashika penis afu anamsogelea mama ake kama anataka kumkojolea hivii...[emoji16][emoji16][emoji16] mama akampiga kibao akatulia sasa Dr akawaita zamu yao imefika dogo akawa anatembea tena kwa style ile ile nyuma ya mama akee aisee Tuliona aibu sisi...[emoji119][emoji119]

Tabia gani ya watoto uliwahi ishuhudia Ukabaki umeduwaa...?
 
Kuna mtoto mmoja babake anacheo cha kijeshi kikubwa. Pale kwao kuna mifugo sasa ukipita na manati ana conclude kuwa leongo lako ni kupiga manati mifugo yao. Yeye hakusemeshi taarifa utaipata kupitia babake mjeshi anayependa sifa.
Huyu mtoto ashawai kukojolea chakula cha wagrni mezani kisha akawatizama walipokuja kula ingawa walistuka.

Kuna mwingine tukiwa primary alijiweka lebo nyekundu ili asichapwe babake akipoulizwa akasema kweli huyo mtoto mgonjwa. Ikapita kama mwaka. Siku katibua kwao, Yule yule babake alimpa kisago cha maana huku akiwa kamfunga ktika mti mpaka jioni. Taarifa zilipofika shule wakaikata ile lebo nyekundu akawa kosa dogo tu stiki nyingi sana
 
Kuna mmoja wa miaka minne aliwahi kutoka na chupi ya mama yake sebuleni tena kaivaa kichwani halafu mama yake anamwambia "jamani Junior acha basi rudisha ndani hio nguo'' nlitamani huyo mama atoke nikafinye hadi akakute kamekua kekundu. sheeenzi
 
Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na Watoto wenye tabia za Ajabu mpaka ukashangaa Sanaa...!! Unaweza baki na maswali Mia kidogo...
Tuanzie hapaa Kuna siku nlikuwa naumwa bhna sasa nkaenda Hospital wakati tumepanga Foleni akaja mama na mtoto wa Kiume miaka Kama mitano hivi aisee yule dogo akawa anasimama alafu anakuwa Kama anapinda hivi anaweka mkono kama kashika penis afu anamsogelea mama ake Kama anataka kumkojolea hivii...[emoji16][emoji16][emoji16] mama akampiga kibao akatulia sasa Dr akawaita zamu yao imefika dogo akawa anatembea tena kwa style ile ile nyuma ya mama akee aisee Tuliona aibu sisi...[emoji119][emoji119]

Tabia gani ya watoto uliwahi ishuhudia Ukabaki umeduwaa...???
Hapa kitaani dogo mmoja anatabia ya kuchungulia watu chooni. Actually bora hiyo ya kuchungulia, tabia nisiyoipenda zaidi ni ile ya kupiga ngoma dirishani kwangu..! Yaani anasubiria siku za weekend nimekesha kudownload muvi usiku mzima mipango yangu ni kulala mpaka saa tano asubuhi then yeye anakuja kupiga ngoma dirishani kwangu..! Aisee ipo siku nitapiga kwenzi moja huyu dogo mpaka tumbo la uzazi cha mama yake litetemeke..!
 
Kuna mtoto mmoja babake anacheo cha kijeshi kikubwa. Pale kwao kuna mifugo sasa ukipita na manati ana conclude kuwa leongo lako ni kupiga manati mifugo yao. Yeye hakusemeshi taarufa utaipata kupitia babake mjeshi anayependa sifa.
Huyu mtoto ashawai kukojolea chakula cha wagrni mezani kisha akawatizama walipokuja kula ingawa walistuka.

Kuna mwingine tukiwa primary alijiwejea lebo nyekundu ili asichapwe babake akipoulizwa akasema kweli huyo mtoto mgonjwa. Ikapita kama mwaka. Siku katibua kwao, Yule yule babake alimpa kisago cha maana huku akiwa kamfunga ktika mti mpaka jioni. Taarufa zilipofika shule wakaikata ile lebo nyekundu akawa kosa dogo tu stiki nyingi sana
Huyo cheo cha baba ake kilikuwa kinampa jeuri
 
kuna mmoja wa niaka mnne aliwahi kutoka na chupi ya mama yake sebuleni tena kaivaa kichwani halaf mama yake anamwambia 'jamani Junior acha basi rudisha ndani hio nguo' nlitamani huyo mama atoke nikafunye hadi akakute kamekua kekundu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dadeki itakuwa kazoeaa huyo
 
Hapa kitaani dogo mmoja anatabia ya kuchungulia watu chooni. Actually bora hiyo ya kuchungulia, tabia nisiyoipenda zaidi ni ile ya kupiga ngoma dirishani kwangu..! Yaani anasubiria siku za weekend nimekesha kudownload muvi usiku mzima mipango yangu ni kulala mpaka saa tano asubuhi then yeye anakuja kupiga ngoma dirishani kwangu..! Aisee ipo siku nitapiga kwenzi moja huyu dogo mpaka tumbo la uzazi cha mama yake litetemeke..!
Huyo wa chabo sasa ni balaa...! Ningekuwa Mimi hata hiyo ngoma ningeshaipasuaa
 
Kuna kitoto kimoja cha kike age kam 3 au 4..uwa kinakuja chumban kwangu tena kwa kung'ang'ania kanaanza kuvua chup na kuanza kukata viuno,,,
Mim ni mpangj mpya apo kwao na nikikauliz a kakufundish kanambia dada ndo kanifundisha
Dah nikikafukuza lazim kanaondok uku kananaimba kwa kuelezea maneno nilokua nakaambia
 
Hivi ndio vichwa vibovu, unaweza ukatafuta Mapadri na Masheikh waje kuwafanyia maombi hawa watoto, au lasivyo wanaweza kukutoa roho kama ni mzazi.
IMG-20170803-WA0016.jpg
IMG-20160628-WA0012.jpg
IMG-20160628-WA0011.jpg
 
Kuna kitoto kimoja cha kike age kam 3 au 4..uwa kinakuja chumban kwangu tena kwa kung'ang'ania kanaanza kuvua chup na kuanza kukata viuno,,,
Mim ni mpangj mpya apo kwao na nikikauliz a kakufundish kanambia dada ndo kanifundisha
Dah nikikafukuza lazim kanaondok uku kananaimba kwa kuelezea maneno nilokua nakaambia
Utapata kesi ya kusingiziwaa mkuu ooho
 
Asilimia kubwa ya malezi ya watoto sis wanawake tunachangia kuwaharibu tukijiona tunawapenda sana

Kuna rafiki yangu akitoka kwenda mjini au kokote lazima ampe mtoto wake hela hata kuanzia mia mbili namwambia kuna siku utakosa utamfundisha udokoz na kweli anasachi pochi ya mama ake anachukua hela anatoka ana miaka miwili tu

Muda mwengine tunaogopa kusema sana au kuact na hivo vitendo sababu ya wenzetu hatujui wanavotuchukulia
 
Back
Top Bottom