Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani nilimkata jicho yule mtoto aakawa ananiogopa sana kuna vitabia tabia sjui hua najionaje
Unakuta mtoto wa kiume kadogo anaingiza mkono kwenye suruali anajivuta vuta maumbile yake bas nakua nakabetua mkono wake hahaaha yan had hua mama angu ananambia Mungu ampe umri aje ashuhudie wanangu ntakavyowalea
Kuna kengine kalikuja home na mama yakeyaani nilimkata jicho yule mtoto aakawa ananiogopa sana kuna vitabia tabia sjui hua najionaje
Unakuta mtoto wa kiume kadogo anaingiza mkono kwenye suruali anajivuta vuta maumbile yake bas nakua nakabetua mkono wake hahaaha yan had hua mama angu ananambia Mungu ampe umri aje ashuhudie wanangu ntakavyowalea
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee Huyo alitumwaa khaaaa...Kuna kengine kalikuja home na mama yake
Na mimi nikawa home likizo kipindi hiko nipo chuo
Sasa mi kwa kawaida sipendi mazoea na vitoto
Sikuiyo nipo sebuleni na pc kakaja nako kuangalia
Sijui ikaweje nimesahau. Kakaniambia "wewe hufanyagi kazi unakaa tu hapa kula" nilitamani nikapige sana ila kwa kuwa najua hasira zangu ningekaumiza ilibidi nikafukuze sebuleni
Yani mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Omba ombaa
Mkuu mkataze kabisa kuingia kwako katakuweka kwenye matatizo.Kuna kitoto kimoja cha kike age kam 3 au 4..uwa kinakuja chumban kwangu tena kwa kung'ang'ania kanaanza kuvua chup na kuanza kukata viuno,,,
Mim ni mpangj mpya apo kwao na nikikauliz a kakufundish kanambia dada ndo kanifundisha
Dah nikikafukuza lazim kanaondok uku kananaimba kwa kuelezea maneno nilokua nakaambia
Duh!!!*Watoto Wa Siku Hizi Balaa Tupu,, Mheshiwa flani hivi
Alikuwa Na MKUTANO Akasema Waliojenga
Majumba Karibu Na Barabara Nyumba Zao
Zitawekwa X,, Watoto Wote Wakashangilia
Kwa Furaha,, MTOTO Mmoja Akasema
Mheshimiwa Ukiweka X Weka Za Kibongo!!!
WAZUNGU Tumewachoka Hawavai Shanga,,
Mheshimiwa Hoi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani mkuu
Dogo anaweza kula mpaka akabakiza chakula ila after 5 min akiona mtu anakula naye anataka
Kuna siku nikawa nakapakulia jikoni .sufuria lipo chini natumia kijiko nikakaaekea nyama moja na mchuzi kwa kijiko sasa si kakaanza kuunguruma kanasema "weka bana nyama sasa ndio nini hiko afu hata mchuzi kidogo emu mimina sufuria:
Hii ya kuomba kuomba naichukia saaaaaaanaRaha ya mtoto umsemee akusikie, mtoto awe kasikivu, ukikiambia acha kanaacha kweli,
Kuna mtoto alikua anapenda kuja sana home akikuta nimetandika vizur sitting room anatoa vitambaa anatupa chini, me naokota natandika tena anakuja ana toa kama mchezo mwisho nilimkata jicho mtoto wa watu aliteremka akaenda kwao akawa ananiogopa mpaka nakaonea huruma
Mtoto aliezoea kuomba omba sjui najisikiaje yan asione mtu kapita na kitu anamfata anaomba hii tabia binafsi inanikera sana
Haa ha ha...kaanza harakati mapema
Kuna kengine kalikuja home na mama yake
Na mimi nikawa home likizo kipindi hiko nipo chuo
Sasa mi kwa kawaida sipendi mazoea na vitoto
Sikuiyo nipo sebuleni na pc kakaja nako kuangalia
Sijui ikaweje nimesahau. Kakaniambia "wewe hufanyagi kazi unakaa tu hapa kula" nilitamani nikapige sana ila kwa kuwa najua hasira zangu ningekaumiza ilibidi nikafukuze sebuleni
uko kama mimi, yan sipendi mtoto awe anaomba omba, asishuhudie kitu cha kula au mtu kashikaHii ya kuomba kuomba naichukia saaaaaaana
Na visauti vyao ....aomba mia eeh....uko kama mimi, yan sipendi mtoto awe anaomba omba, asishuhudie kitu cha kula au mtu kashika
hahaha unamwambia tu usiww unaomba eh subiri mtu akupe mwenyewe usimuombe, ni tabia mbaya na walivyo atarudia tena na tenaNa visauti vyao ....aomba mia eeh....
Kuna kengine kalikuja home na mama yake
Na mimi nikawa home likizo kipindi hiko nipo chuo
Sasa mi kwa kawaida sipendi mazoea na vitoto
Sikuiyo nipo sebuleni na pc kakaja nako kuangalia
Sijui ikaweje nimesahau. Kakaniambia "wewe hufanyagi kazi unakaa tu hapa kula" nilitamani nikapige sana ila kwa kuwa najua hasira zangu ningekaumiza ilibidi nikafukuze sebuleni
me kuna mmoja alinambia
Hujui mtu uchungu wake ulikuja vip shida gan alipitia had akajifungua huyo mtoto anemuona kama lulu, nikamwwmbia unapokua na mtoto waza kesho itakuaje ukiwa haupo kwenye uso wa dunia, mlee vile kila mtu ampende kuishi naye mlee aishi na yoyote yule usiwape watu kazi ya kuanza kulea upya akabaki anatabasam tu na ndio mwenye mtoto anepewa hela za mama ake akikosa anapekua mikoba anachukua hela