Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa asilimia 98 kina mama ndio mnaharibu watotoAsilimia kubwa ya malezi ya watoto sis wanawake tunachangia kuwaharibu tukijiona tunawapenda sana
Kuna rafiki yangu akitoka kwenda mjini au kokote lazima ampe mtoto wake hela hata kuanzia mia mbili namwambia kuna siku utakosa utamfundisha udokoz na kweli anasachi pochi ya mama ake anachukua hela anatoka ana miaka miwili tu
Muda mwengine tunaogopa kusema sana au kuact na hivo vitendo sababu ya wenzetu hatujui wanavotuchukulia
ni kweli mana muda mwingi mtoto anashinda na sisi kuliko nyie, tunahadaika na malezi ya kizungu bila kujua tunawaharibKwa asilimia 98 kina mama ndio mnaharibu watoto
ni kweli mana muda mwingi mtoto anashinda na sisi kuliko nyie, tunahadaika na malezi ya kizungu bila kujua tunawaharib
Kuna mtoto wa jirani yangu aliwah kunitukana matusi makubwa ambayo hata kuyatamka ni mtihani nilimchapa mbele ya mama ake mwisho nikamwambia mama ake ukiwa unatukana hakikisha watoto wako hawapo karibu wanawasikia leo amentukana mm nimemchapa kesho atatukana kwengine sjui watamfanyaje na kama mzazi unajitia aibu
Yan malezi ya siku hizi ni mabovu sana mtoto anakua anajua mama ananipenda hawezi kunichapa hawezi kunifokea hawezi kunifanya kitu, matokeo akishakia mkubwa mzaz anamshindwa mapemaa
Wanawake wa kiswahili hasa Dar kutukana mbele ya watoto kawaida tuu...!! yani wanaharbu Sana watotoni kweli mana muda mwingi mtoto anashinda na sisi kuliko nyie, tunahadaika na malezi ya kizungu bila kujua tunawaharib
Kuna mtoto wa jirani yangu aliwah kunitukana matusi makubwa ambayo hata kuyatamka ni mtihani nilimchapa mbele ya mama ake mwisho nikamwambia mama ake ukiwa unatukana hakikisha watoto wako hawapo karibu wanawasikia leo amentukana mm nimemchapa kesho atatukana kwengine sjui watamfanyaje na kama mzazi unajitia aibu
Yan malezi ya siku hizi ni mabovu sana mtoto anakua anajua mama ananipenda hawezi kunichapa hawezi kunifokea hawezi kunifanya kitu, matokeo akishakia mkubwa mzaz anamshindwa mapemaa
[emoji16][emoji16][emoji16]Huyo alikiwa anazinguaRaha ya mtoto umsemee akusikie, mtoto awe kasikivu, ukikiambia acha kanaacha kweli,
Kuna mtoto alikua anapenda kuja sana home akikuta nimetandika vizur sitting room anatoa vitambaa anatupa chini, me naokota natandika tena anakuja ana toa kama mchezo mwisho nilimkata jicho mtoto wa watu aliteremka akaenda kwao akawa ananiogopa mpaka nakaonea huruma
Mtoto aliezoea kuomba omba sjui najisikiaje yan asione mtu kapita na kitu anamfata anaomba hii tabia binafsi inanikera sana
Katika vitu ambavyo nilishapiga marufuku kwangu ni kutukana matusi maana ukiwa unamtukana unamfundisha baadae atakutukana we mkubwa,mtoto anatukana harafu mama anaanza kusema sijui kayajuaje haya au litoto linakuwa linakuja kuwa na tabia za hovyo mama anabaki kulalama tu kuwa mwanangu walimroga hakuwaga hivi
Wanawake wa kiswahili hasa Dar kutukana mbele ya watoto kawaida tuu...!! yani wanaharbu Sana watoto
yaani nilimkata jicho yule mtoto aakawa ananiogopa sana kuna vitabia tabia sjui hua najionaje[emoji16][emoji16][emoji16]Huyo alikiwa anazingua
Mkuu kua makini utaambiwa umebakaKuna kitoto kimoja cha kike age kam 3 au 4..uwa kinakuja chumban kwangu tena kwa kung'ang'ania kanaanza kuvua chup na kuanza kukata viuno,,,
Mim ni mpangj mpya apo kwao na nikikauliz a kakufundish kanambia dada ndo kanifundisha
Dah nikikafukuza lazim kanaondok uku kananaimba kwa kuelezea maneno nilokua nakaambia
Waswahili wana msemo wao mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni sahihi kabisa
Nakumbuka had nakua najifaham ile mtu kuniambia mjinga wewe niliona tusi kubwa sana achilia hayo mengine mekuja yajua ukubwani na sikuwah wasikia wazazi wangu wakiyatamka
Unakuta toto kubwa haliamkii watu halaf mama ake anaona sawa kabisa unakutana naye mnaangaliana macho kwa macho kuna mmoja niliwah kumtania kwa kukuamkia na akanijibu marahaba hujambo nikajua anajua kuamkia kafanya kusud tu
me kuna mmoja alinambiaWatoto wetu hawa ni shida,kikubwa tupunguze uzungu
sipendi hii tabia, yan mtoto awe anaomba tu sjui najisikiaje,Kuna dogo yeye kila akiona mtu anakula na yeye anataka