Tabia za Ajabu za Watoto

Tabia za Ajabu za Watoto

Waswahili wana msemo wao mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni sahihi kabisa

Nakumbuka had nakua najifaham ile mtu kuniambia mjinga wewe niliona tusi kubwa sana achilia hayo mengine mekuja yajua ukubwani na sikuwah wasikia wazazi wangu wakiyatamka

Unakuta toto kubwa haliamkii watu halaf mama ake anaona sawa kabisa unakutana naye mnaangaliana macho kwa macho kuna mmoja niliwah kumtania kwa kukuamkia na akanijibu marahaba hujambo nikajua anajua kuamkia kafanya kusud tu
Ahahahahahaahaha mtoto kaitikia salam! Nacheka Kama mazuri dah! Watoto wa digital
 
yaani nilimkata jicho yule mtoto aakawa ananiogopa sana kuna vitabia tabia sjui hua najionaje

Unakuta mtoto wa kiume kadogo anaingiza mkono kwenye suruali anajivuta vuta maumbile yake bas nakua nakabetua mkono wake hahaaha yan had hua mama angu ananambia Mungu ampe umri aje ashuhudie wanangu ntakavyowalea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanawake wa kiswahili hasa Dar kutukana mbele ya watoto kawaida tuu...!! yani wanaharbu Sana watoto
Sio Dar tu hata Tanga. Unakuta mtoto hata kuongea vizuri hawezi ila anatukana
 
Kuna kengine kalikuja home na mama yake
Na mimi nikawa home likizo kipindi hiko nipo chuo
Sasa mi kwa kawaida sipendi mazoea na vitoto
Sikuiyo nipo sebuleni na pc kakaja nako kuangalia
Sijui ikaweje nimesahau. Kakaniambia "wewe hufanyagi kazi unakaa tu hapa kula" nilitamani nikapige sana ila kwa kuwa najua hasira zangu ningekaumiza ilibidi nikafukuze sebuleni
Hahahahahaaa. Kalikuweza. Utasema kametumwa
 
Yani mkuu
Dogo anaweza kula mpaka akabakiza chakula ila after 5 min akiona mtu anakula naye anataka
Kuna siku nikawa nakapakulia jikoni .sufuria lipo chini natumia kijiko nikakaaekea nyama moja na mchuzi kwa kijiko sasa si kakaanza kuunguruma kanasema "weka bana nyama sasa ndio nini hiko afu hata mchuzi kidogo emu mimina sufuria:
Hahahahaa. Alikua na umri gani?
 
Hao wawili wa chini unaweza wakamata uwapeleke polisi
Huyu nae je? Si unaweza ukamfunga kwa kosa la "attempt murder"???? Maana ukikutana nae saa nane usiku anaweza akakutoa roho, kwa mshtuko wa moyo
daily-afternoon-randomness-49-photos-23841.jpg
 
Back
Top Bottom