Tabia za Ajabu za Watoto

Tabia za Ajabu za Watoto

Mimi binti yangu miaka mitatu, anamuuliza mama yake " mama hivi babu gari alitoa wapi" mama akamjibu alinunua, kakamuuliza tena ," sasa mbona baba hana?"
Jamani baba itabdi apige kazi aisee...[emoji16][emoji16][emoji24]
 
Me katoto kangu kadogo kalikuja mwambia mgeni "we mbona unakula Sana" nilikafinya hakurudia tena!
Wana mambo mengi Sana hawa watoto
[emoji24][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee mgeni itakuwa aliona soo
 
Mzee hapa Nina mori kama wote yaani.......lazima hili nilifanyie kazi kwa kweli
Lazima mkuu watoto huwa wanakuaa na maswali Sana... Mtoto wa miaka mitano anauliza wastani wa maswali hata 100 kwa siku!
 
Muwe mna tabia ya kuwachunguza watoto wenu (WAKIKE).

Baadhi yao huingizwa vidole na watoto wenzao.
 
Kuna mdogo wake rafiki yangu mmoja aliona ile video ya kondoo wakiwa wanatembea na wanaonekana wanatikisa makalio (ilisambaa sana whatsapp) akasema "mbona wanatembea kama mashoga". Aisee, nilishangaa sana.

Dogo huyo huyo alishamwambia mshkaji fulani aliyekuwa anacheka " mbona unachekacheka kama mwanamke?" Dogo mwenyewe sijui anamiaka minne sijui..

Tuna mtihani sana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee huyo balaa...Jamaa hakumind
 
Watoto wanaharaka na majukumu.
Screenshot_20180627-173037.jpg
 
Hapa kitaani dogo mmoja anatabia ya kuchungulia watu chooni. Actually bora hiyo ya kuchungulia, tabia nisiyoipenda zaidi ni ile ya kupiga ngoma dirishani kwangu..! Yaani anasubiria siku za weekend nimekesha kudownload muvi usiku mzima mipango yangu ni kulala mpaka saa tano asubuhi then yeye anakuja kupiga ngoma dirishani kwangu..! Aisee ipo siku nitapiga kwenzi moja huyu dogo mpaka tumbo la uzazi cha mama yake litetemeke..!

Dah mitoto mengine ukiikataza ndio inafanya sifa Yan yanakera kweli but hata sisi tumetoka huko huko akitokea mtu akikuelezalea Tania zako ww ulivyokua mtoto utabaki unajicheka tu🤪🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom