rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na watoto wenye tabia za ajabu mpaka ukashangaa sanaa unaweza baki na maswali mia kidogo tuanzie hapaa kuna siku nilikuwa naumwa bhna sasa nikaenda Hospitali wakati tumepanga foleni akaja mama na mtoto wa kiume miaka kama mitano hivi aisee yule dogo akawa anasimama alafu anakuwa kama anapinda hivi anaweka mkono kama kashika penis afu anamsogelea mama ake kama anataka kumkojolea hivii...[emoji16][emoji16][emoji16] mama akampiga kibao akatulia sasa Dr akawaita zamu yao imefika dogo akawa anatembea tena kwa style ile ile nyuma ya mama akee aisee Tuliona aibu sisi...[emoji119][emoji119]
Tabia gani ya watoto uliwahi ishuhudia Ukabaki umeduwaa...?
Tabia gani ya watoto uliwahi ishuhudia Ukabaki umeduwaa...?