BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hamna popote duniani ambako watu wanadiscuss mambo serious tu otherwise dunia ingejaa watu wenye sonona, presha na magonjwa mengine ya akili. Ndo maana hata leo ndani ya US kwenyewe tunakotegemea watu wako serious na maisha video ya wimbo wa Kim Jong-Un ni no 1 trending tik-tok kuliko maandamano ya kuwasapoti Palestina vyuoni.Ndio maana CCM watatuongoza kwa miaka mingi tu ijayo, hatuko serious na mambo ya msingi.