Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

Mimi nilidekezwa/nadekezwa sana lakini sina hivyo ulivyotaja
Labda kidogo hapo kuvutiwa na wanaume wanaovuta bangi umepatia na milegezo
Ingekuwa mlegezo ni tabia ningeanza hivi Sasa ili nikupate Joanah Ila Sasa kuvaa mlegezo na vijana walivyoharibika aku ,nisije anza kuimba taarabu bure
 
Asalale mkuu naona unanisema mimi aisee mule mule aisee
 
Amna bhana 😂
Mie na-enjoy peaceful life,kwani uzi wa kubet umekutana na vurugu gani tena ungenitag 🤣
Siingiagi sana kule aisee Mimi ni MMU, Hoja na habari Mchanganyiko na uzi wa Liverpool tu.
 
Mlegezo na hizo tabia za kina Lokole hazihusiani mbona
Nachoohopa ninaweza kuvaa mlegezo ili unipende Joanah Sasa unaenda labda bar ,vijana unakuta una hili Wala lile wanakumbambia wakidhani umewatamanisha na sisi wengine tuliojaaliwa viuno vya kufungia mkanda ndiyo kabisa mpenzi
 
Watoto wa kiume wengi waliodekezwa na Mama zao utotoni wanakuwa wambea, mabwabwa, wanafiki, na ujinga mwingi wa kike wanakuwa nao wao.
 
kama Lissu?
 
Nilipata demu alikua anadeka kisenge🤣akisikia paka wanalia usiku ananipigia "bolotoba" naogopa Kulala mwenyewe nakuja kwako
 
Wengi wanakuwa wapuuzi tu, kama Mama alikuwa mchawi juwa fika na huyo mtoto atarithi mikoba ya Mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…