Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

Uwongo mtupu..hisia zitawaumiza sana
 
Wazazi tuwalee watoto kwa kila kitu iwe kiasi hata kudeka kiasi ..... so unakuta mtoto ety umeenda mgeni anakushangaa ama anataka simu yangu achezee gemu !

Nakumbuka Kuna kipind nimenunua kibeg changu Cha kushika mkononi nikiwa chuo..... Asa dadangu akawa alibaki nao akapitiliza kwa ndugu yetu kimara ....

Siku namwambia niletee kibeg daah halifai namuuliza anasema ooh mtoto wa dada yako!

How yaani ujinga wa mwanao afanyie kwenye vitu vyangu!!

Aseeh wazazi watoto sio wa kuwadekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…