Tabia za mwanamke wa kuoa (wife material)

Sifa ni moja tu pata mwanamke ambaye atakuheshimu. Hizo nyingine ni za ziada mwanaume hataki kupendwa mwanaume anataka kuheshimiwa.
Nakazia
 
Kuna comment moja hapo juu inasema hizo sifa zote ni za malaika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tuende kiuhalisia hata ukipata mwanamke mwenye baadhi ya hizo sifa ni kuishi nae na kuendelea kuomba sana maombi ndoa isimame imara
 
I swear mwanamke mwenye sifa hizo havutiii....yani unaishi na mwanamke kama unaishi na kobe hapana.
 
Ujakutana na pretender wewe hata wao wanazijua tabia mume azitakazo kabla ya kuingia kwenye ndoa. Uchumbani wote huwa ni malaika, wakishapata cheti na mtoto ugeuka shetani. Hata hao walioachana mwanzoni waliona ni chaguo sahihi
 
KWA sababu ya uongo mwingi ni bora uishi na mtu kwanza bila kuzaa mkishindwana mapema msiharibiane vyeti.
 
Wanawake na wanaume wenye sifa ni wachache sana, muhimu ni kujifunza kuishi na hao wengi walio wabovu
 
Hakuna cha wife material wala nini tafuta wako anaependezesha nafsi yako na akili. Tutakufa tukisubiri qualities afu ndani wabadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…