alafu akivaa dela hutojua anaenda au anarudi ni kama mti umechomekwa nguo.
Sent using Jamii Forums mobile app
frenderPH,
♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..
♧ Siyo watu wa show off.
♧ Low profile type.
♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.
♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo
♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..
♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..
Sent using Samsung S6 Edge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwanaume wa kwly tako lake ni gumu mfano wa mkate wa ufuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi nilikuwa na kiimani cha kizushi, mtoto akiwa mnene nilikuwa siamini kama ana akili vizuri, au mtoto kibonge kabisa huyo nilimuona ndo hamnazo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] sijui nilikuwa na "body phobia"(sio rasmi)
Wanajua kuto.....
Wanatembea umbali mrefu
Wana nguvu sana za ule mguu wao wa katikati
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀 😀
Kiaje?
Wewe jamaa kama vile unaish nao asee mm n miongoni mwa wanaume wembamba akyamungu kuna sifa 3 umezitaja hapo juu nnazo duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wanaume wembamba sisi ni tunu ya Dunia
Wallah [emoji23][emoji23][emoji23]Mashine kubwa
Kina cha maji kirefu
Anapenda kupigwa kibabebabe kipigo cha mbwa koko
Ana pumzi za kutosha raundi zote
Kinajipinda kadri ya staili uipendayo
Wanauwezo wa kumeza bila kutafuna
Hana kizuizi break......
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipokuwa unasoma ulikuwa mvulanaAcha kukopi maandiko ya wazungu na kutuletea Afrika, Mimi nilikuwa mwembamba wakati nasoma nilipomaliza shule ya elimu ya juu nikaanza kupata pesa nikajikuta nanenepa na hadi Leo ule wembamba wa miaka ya enzi za Mwinyi na Mkapa sina tena, hata mapenzi hayanisumbui najua kupenda hadi michepuko hainiachi
Mpunga sikuwa nao, kwahiyo hata kula ilikuwa ni mgali maharagwe ya shule
That's what I'm saying, wewe ni mnene ila shida tu zilikufanya uwe kimbaumbauMpunga sikuwa nao, kwahiyo hata kula ilikuwa ni mgali maharagwe ya shule
As u have read my mind,,yaani nipo hivohivo kwa asilimia kubwaTABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:
1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu)
2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi
3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake
4. Ni mwenye mawazo mengi halafu ni muongomuongo na uwa ni mcheshi sanaa ana uwezo wa kumfanya mpnz wake akae anacheka muda mwingi
5. Ana huruma na utu wakati mwingi hujiamini na ni mwenye hasira za haraka
6. Huwa akubali kushindwaa na hupata mafanikio makubwaa na wakati mwengne uwa mvivu nakuwa kama kapoteza muelekeo
7. Mara nyingi uwa ni mtoto wa kiume wa kwanzaa kwenye familia yake
8. Hupenda mawasiliano na ukalibu na mpnz wake na uwa anawivu sanaa
9. Hupenda uhuru katika mapenzi,na wakati mwingne sio mtu wa kutegemewa maana ni kigeugeu
10. Uwa ana maamuzi ya ghaflaa na upenda mageuzi ya haraka sanaa
Hizo ndo tabia za mwanaume mwembamba na wewe niandikie za kwako unazozifahamu hapo chini.
Kama kuna niliyosahau niambie
Sent using Jamii Forums mobile app