Tabia za mwanaume mwembamba

Tabia za mwanaume mwembamba

♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..

♧ Siyo watu wa show off.

♧ Low profile type.

♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.

♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo

♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..

♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..

Sent using Samsung S6 Edge
Aisee we umeongeza maujuz zaid nakubaliana na hoja zote ndo sifa zetu Kama nasemwa mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:

1,Anapenda wanawake vibonge(zawadi ya kudumu)

2,Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi

3,Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake,

4,Ni mwenye mawazo mengi,alafu ni muongomuongo na uwa ni mcheshi sanaa ana uwezo wa kumfanya mpnz wake akae anacheka muda mwingi,

5,Ana huruma na utu wakati mwing ujiamin na nimwenye hasira za haraka

6,Huwa akubali kushindwaa na hupata mafanikio makubwaa na wakati mwengne uwa mvivu nakuwa kama kapoteza muelekeo

7,Mara nyingi uwa ni mtoto wa kiume wa kwanzaa kwenye familia yake

8,Hupenda mawasiliano na ukalibu na mpnz wake na uwa anawivu sanaa

9,Hupenda uhuru katika mapenzi,na wakati mwingne sio mtu wa kutegemewa maana ni kigeugeu

10,Uwa ana maamuzi ya ghaflaa na upenda mageuzi ya haraka sanaa

Izo ndo tabia za mwanaume mwembamba na wewe niandikie za kwako unazozifahamu hapo chini.
Kama kuna niliyosahau nambie


Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sahihi,kwani wapo wanene na wanatabia zote hizo tena na viji ziada vyake hadi wapenzi wao hushangaa kwa wanavyo aminishwa na wengine.Tabia hazitegemei umbo,sababu hata wanene walikuwa wembamba.Ni mawazo yangu tu usinune.
 
Back
Top Bottom