udai caresma
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 142
- 365
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwanaume wa kwly tako lake ni gumu mfano wa mkate wa ufutatako gumu ndo engine ya kazi. sasa mwanaume awe na tako laini smoooth kama la kwako ili afanywe nn ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee we umeongeza maujuz zaid nakubaliana na hoja zote ndo sifa zetu Kama nasemwa mimi♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..
♧ Siyo watu wa show off.
♧ Low profile type.
♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.
♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo
♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..
♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..
Sent using Samsung S6 Edge
Kuna kipindi nilikuwa na kiimani cha kizushi, mtoto akiwa mnene nilikuwa siamini kama ana akili vizuri, au mtoto kibonge kabisa huyo nilimuona ndo hamnazo kabisa 😂😂😂 sijui nilikuwa na "body phobia"(sio rasmi)Dah basi acha nianze kufanya diet na mazoezi ili niwe mwembamba.
Okay kumbe engine ipo kwenye tak**tako gumu ndo engine ya kazi. sasa mwanaume awe na tako laini smoooth kama la kwako ili afanywe nn ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina historia ya kuwa na mwanaume mwembamba
Sio sahihi,kwani wapo wanene na wanatabia zote hizo tena na viji ziada vyake hadi wapenzi wao hushangaa kwa wanavyo aminishwa na wengine.Tabia hazitegemei umbo,sababu hata wanene walikuwa wembamba.Ni mawazo yangu tu usinune.TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:
1,Anapenda wanawake vibonge(zawadi ya kudumu)
2,Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi
3,Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake,
4,Ni mwenye mawazo mengi,alafu ni muongomuongo na uwa ni mcheshi sanaa ana uwezo wa kumfanya mpnz wake akae anacheka muda mwingi,
5,Ana huruma na utu wakati mwing ujiamin na nimwenye hasira za haraka
6,Huwa akubali kushindwaa na hupata mafanikio makubwaa na wakati mwengne uwa mvivu nakuwa kama kapoteza muelekeo
7,Mara nyingi uwa ni mtoto wa kiume wa kwanzaa kwenye familia yake
8,Hupenda mawasiliano na ukalibu na mpnz wake na uwa anawivu sanaa
9,Hupenda uhuru katika mapenzi,na wakati mwingne sio mtu wa kutegemewa maana ni kigeugeu
10,Uwa ana maamuzi ya ghaflaa na upenda mageuzi ya haraka sanaa
Izo ndo tabia za mwanaume mwembamba na wewe niandikie za kwako unazozifahamu hapo chini.
Kama kuna niliyosahau nambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejibu comment yako wala sijaendeleza chochoteHapo kwenye kuto.... unajua mwendelezo wake au kiherehere tu
Hayo mengine siyajui
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee uzi wetu wametufungia