Tabia za mwanaume mwembamba

Tabia za mwanaume mwembamba

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:

1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu)

2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi

3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake

4. Ni mwenye mawazo mengi halafu ni muongomuongo na uwa ni mcheshi sanaa ana uwezo wa kumfanya mpnz wake akae anacheka muda mwingi

5. Ana huruma na utu wakati mwingi hujiamini na ni mwenye hasira za haraka

6. Huwa akubali kushindwaa na hupata mafanikio makubwaa na wakati mwengne uwa mvivu nakuwa kama kapoteza muelekeo

7. Mara nyingi uwa ni mtoto wa kiume wa kwanzaa kwenye familia yake

8. Hupenda mawasiliano na ukalibu na mpnz wake na uwa anawivu sanaa

9. Hupenda uhuru katika mapenzi,na wakati mwingne sio mtu wa kutegemewa maana ni kigeugeu

10. Uwa ana maamuzi ya ghaflaa na upenda mageuzi ya haraka sanaa

Hizo ndo tabia za mwanaume mwembamba na wewe niandikie za kwako unazozifahamu hapo chini.

Kama kuna niliyosahau niambie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukopi maandiko ya wazungu na kutuletea Afrika, Mimi nilikuwa mwembamba wakati nasoma nilipomaliza shule ya elimu ya juu nikaanza kupata pesa nikajikuta nanenepa na hadi Leo ule wembamba wa miaka ya enzi za Mwinyi na Mkapa sina tena, hata mapenzi hayanisumbui najua kupenda hadi michepuko hainiachi
 
1,2,4,5,6,7,8,10

Kama vile uliwahi kuishi na mimi mkuu au...?

IMG-20200211-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom