ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Habari za humu...
Wahenga walisema tabia ni kama ngozi ya mwilini kuibadili ni kazi sanaa...
Nilipo anza kidato cha kwanza nilishindwa kuelewa ni kwanini haya yanatokea lakini niliamini ipo siku akili yangu itakuwa na nitaelewa ni kwanini nilikumbuka sana ule msemo wa ....
kuwa uyaone...kadri siku zilivyo kwenda nikaanza kujiuliza hivi kwanini walio soma masomo ya arts na hata wanao soma hayo masomo wapo hivi na TABIA ZAO ZA AJABU AJABU..nilianza na
WANAFUNZI WANAOSOMA MASOMO YA ARTS
Nikiwa kidato cha pili nilikuwa nikiona na kujua nini kidato cha 3 wanafanya walikuwa na tabia za ajabu na makosa mengi mengi tuu sasa ilikuwa kila ayepewa adhabu either ya kusimamishwa masomo kwa muda au kufukuzwa kabisa au adhabu mbali mbali ilikuwa ni wale walio opt masomo ya physics, chemistry na walikuwa wanajulikana kama WANAO SOMA MASOMO YA ATRS
Kiukweli hawa wanafunzi ndio walio kuwa vinara wakujihusisha na mapenzi shuleni,kutumia simu shuleni,kupigana shuleni,kuvuta bangi shuleni wao ndio vinara wavurugu shuleni,
Wao ndio pombe kwa sana wao ndio walikuwa wanajikuta kila kitu wanajua na tabia zingine nyingi za ajabu sikuelewa tatizo ni nini kukosa mda au nini au kukosa mambo ya kufanya au vipi...
sina maana kuwa wanao soma masomo ya science walikuwa hawafanyi hapana lakini kati ya watu 10 basi science utamkuta mmoja hawa watu niliwaona hadi nilipo fika kidato cha sita..
Ukija kwa WANACHUO.
wale wale walio kuwa wanasoma arts na advance wakasoma combination za arts ndio hao hao wanao ongoza kwa tabia zile zile za ajabu angalia wadada wanaojiuza chuoni, angalia wadada na akina kaka wanao rekodi video za ngono chuoni, angalia wanao vaa nguo za nusu uchi chuoni, angalia wale wanajiita masharabaro chuoni, angalia wale wanao penda sifa chuoni,
Angalia walevi chuoni utangundua kuwa advance walisoma masomo ya arts na hata huko chuoni wana soma zile kozi za arts na science ni wachache sanaa sasa najiuliza hivi hawa watu vipi ?
Ukija kwa WALIMU
wa masomo ya arts utaona tabia za ajabu pia ni tokea primary hadi lectures vyuoni wanatabia za ajabu na hata hazifai kuigwa na jamii,walimu wa masomo hayo ndio wanao chapa sana kuliko walimu wa masomo ya science, walimu hao ndio wanao fuatilia sana wanafunzi mashuleni, walimu hao ndio wanao ongoza kwa kutongozana kazi (michepuko),
Walimu hao ndio wanao ongoza kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi, kuwapa mimba wanafunzi, kunywa pombe ba kulewa kazini ni wao kubaka wanafunzi ni wao hizi tabia zote ni kwa wanaume na wanawake kifupi ni kama HAWAJITAMBUI hii ni kuanzia shule ya msingi hadi vyuoni
Ukija kwa WAFANYAKAZI SERIKALINI
hata taasisi mbali mbali utagundua kuwa walio soma arts ndio wala rushwa wakubwa,ndio ambao hawafanyi kazi kwa bidii,ndio watoro kazini kifupi hawafai kuigwa
Kutoa mimba wao ndio wana ongoza jamani mm najiuliza watu wa arts kulikoni ni masomo yenu yalisha laaniwa au hamjitambui au ni kukosa muda au tatizo nini mm nashindwa kuelewa kabisa mnaboa sana na ni lazima tuwa ambie ukweli wa mambo...
kwanini msijitambue,sina ugomvi na nyie wala sina chuki na nyie ila tabia zenu zina boa sana kuanzia wanafunzi, walimu, wafanyakazi,sisemi kuwa science hawafanyi hapana wanafanya lakini kwa asilimia ndogo sana kulinganisha na nyie Huko vipi?
Nawasilisha.