Tabia za wanafunzi wa Arts

Tabia za wanafunzi wa Arts

Huu ndio uchochezi tusioutaka. Be responsible with your keyboard chief.

Mkuu kwa uzoefu wangu kuna ukweli kuhusu hayo matukio unayosema kutokana na kuangalia kwa haraka zako.

Nidhaniavyo mimi: kumbuka watu wanaosoma arts ni wengi kuliko watu wanaosoma sayansi katika shule nyingi na hata vyuoni, kutokana na wingi wao ukitafuta kujua ni kiasi gani wanafanya upuuzi ukilinganisha na watu wa sayansi utagundua makundi haya hayaachani sana,

ila arts wanaonekana kwa sana kwa sababu ni wengi kwa idadi ukilinganisha na watu wanaosoma sayansi.

Ukitaka kujua kama hakuna tofauti tafuta sample flani then fanya hesabu yako interms of percent.
Kwa mfano:
Shule ''A'' yenye jumla ya wanafunzi 100.
Kwa kawaida arts hua wengi labda tufanye 60, then sayansi wabaki 40.

Then assume nusu ya wanafunzi wa arts yaani 30 wanalewa pombe, na nusu ya wanafunzi wa sayansi yaan 20 nao wanalewa.

Kwa hivyo asilimia ya arts wanaolewa ni= 30/60*100%=50%
Kwa sayansi fanya 20/40*100%=50%.

Ukiangalia hapo interms of percent wako sawa kua 50% ya arts na 50% ya sayansi ni walevi.
Turudi kwenye observation ya kawaida bila kujua sample size ya kila kundi.

Chance kubwa ya kuwaona walevi ni wanafunzi wa arts 0.6 (yaani P=ne/ns= 60/100= 0.6)

Chance ya kuwaona wanafunzi walevi kwa sayansi ni 0.4 yaani 40/100 kwa kutumia kanuni hiyo ya probability.

Nawasilisha wakuu.
 
danya,

Dogo hapo tayari una concept note ambayo ukii-develop into comprehensive proposal unawezo kupata PhD thesis safi sana. It is researchable problem statement.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na science yako uliyosoma na unajisifu kabisa lakini hujui umuhimu wa utafiti.kwa ninavyoona umesoma shule zenye tabia za vurugu na isitoshe hata wazazi wako pia watakuwa wamesoma arts ndio mana imekuwa rahisi kwako kuja na kautafiti kako uchwara. Pole kwakuwa hata science uliyosoma haijakusaidia.
 
WANAFUNZI WANAOSOMA MASOMO YA ARTS

Nikiwa kidato cha pili nilikuwa nikiona na kujua nini kidato cha 3 wanafanya walikuwa na tabia za ajabu na makosa mengi mengi tuu sasa ilikuwa

kila ayepewa adhabu either ya kusimamishwa masomo kwa muda au kufukuzwa kabisa au adhabu mbali mbali ilikuwa ni wale walio opt masomo ya
physics,chemistry

na walikuwa wanajulikana kama WANAO SOMA MASOMO YA ATRS

Hivi huwa unaelewa unachoandika au unakurupuka kuwahi kujaza SERVER tu humu !
 
Jarbu kufilter, nyie ndo wale mlikalili anayesoma sayans lazma awe mchafu yaan rafu, kuna vitu ni kwel na vngne si kwel, karudie utafti wako kwenye baadh ya vitu hapo afu urud tena!
 
Pamoja na science yako uliyosoma na unajisifu kabisa lakini hujui umuhimu wa utafiti.kwa ninavyoona umesoma shule zenye tabia za vurugu na isitoshe hata wazazi wako pia watakuwa wamesoma arts ndio mana imekuwa rahisi kwako kuja na kautafiti kako uchwara.

Pole kwakuwa hata science uliyosoma haijakusaidia.

DANYA yupo sahihi na wala siyo yeye pekeyake aliyeliona hilo hata mimi nimeliona hilo na bado naendlea kuyaona mpaka hivi sasa nlipo fika chuo
 
Dogo unayaona hayo kwasababu ya idadi kubwa ya watu wanaochukua masomo hayo ya arts.lakini ukifanya hesabu za ratio na ukaweka majibu yake kwa asilimia utagundua hawa wanaosoma kada hizo mbili hawatofautiani sana.

Kwahiyo msikurupuke na majibu ya jumla bila kufanya tafiti na kupata hesabu zake.pasi na kufanya hivyo hata huo usomi wenu mnaojinasibu nao hapa utakuwa hauna maana yoyote.
 
danya

Extremly childish and high streotype,dont generalize man every bady has his/her own behaviour regerdless what combination he/she did bere in your mind.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Dogo Ndio Kamaliza Form4 Huyo Mimi Namsubiria Mwakani Siku Matokeo Yakitoka Nitakuwa Wa Kwanza Kumkumpa Taarifa

Ha ha kweli mkuu tuachane nae twende tukawakabili wanaukoo Wa ESCROW kule....
 
Back
Top Bottom