Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thread yako ina kera mno, na ndiyo maana na science zenu mmekosa tija na hadhi mbele ya taifa kila na ndiyo maana kila tender hapa anapewa mchina coz hamna maadili.
Kwahiyo wewe na PSPA yako unakubali kwamba Una shida?
Waliosoma arts wengi wao wana kihere here saana,na wana inferiority complex!huwa wanataka kujionesha kuwa wanajua!wanataka kudominate mazungumzo,wengi wanapenda kujiaminisha kuwa wangeweza kusoma sayansi kama wangepata walimu wazuri!
hvi wote tungesoma science unazani ingekuwaje?maisha ni kuchagua kipi unapenda!afu tambua sio kila asomae arts ukajua alifeli hayo masomo ya science wapo ambao wameenda advance wakiwa science wamepga.
Na hata B,lakni wakaenda soma HGL n.k nawewe unakuta kwenye comb una C,C D,afu unaleta majigambo kwamba wewe ndo kchawa?binafsi nmesoma HGL lakn najua kudeal na vtu vya electronics through practical
Na najua mahesabu vzur tu ya kielectronic kuliko ww unaleta tv,sabufa,sim nk kwangu uku naww umesoma PCM inakusaidia nini sasa,hata nkikwambia transitor ndo ip kweny circuit huiju i unajua tu michoro ake!duu pole yenu mimi napga sana hela za wanaojita science.
We nenda then utakuja niambia tembelea vyuo vyote arts and science den angalia au chuo kimoja tu mfano udsm angalia arts na science
Mbuzi kafia kwa Muuza Supu
Tunataka tafiti zenye maana.. Unakuja na uzi kama huu ili iweje baada ya sisi kusoma ?? None sense kabisa..
Walimu wa kike wa arts nipo nao chuo na kazini ni kua wanapenda Pu..m.u sana