Tabia za wanafunzi wa Arts

Tabia za wanafunzi wa Arts

Hujaona ni miongoni mwa course za arts anazoongelea mleta mada au?

Sijajua ni ukichwa maji au ni kitu gani. Mtoa mada amesema watu waliosoma sayansi hawanaga tabia za ajabu ukilinganisha na wale waliosoma arts mfano hao PSPA. Au mtu akisoma college hii hakutani na watu wa college nyingine kiasi cha kutowajua??? I.d.i.o.t
 
Kwahiyo wewe na PSPA yako unakubali kwamba Una shida?
 
Sio vya kuiga wala tabia nilizo taja hapo sijasema za kuigwa halafu kumbuk sijasema science hawafanyi,wanafany lkn kwa kiwango kidg ukilinganisha na arts

mshikaji umevurugwa kweli, wanaosoma sayansi wako wangapi na wanasifa gani? lkn pia compare na mafanikio basi katika maisha.
 
Sio vya kuiga wala tabia nilizo taja hapo sijasema za kuigwa halafu kumbuk sijasema science hawafanyi,wanafany lkn kwa kiwango kidg ukilinganisha na arts

Hoja zako zimesha jifia kabla hujazitoa, na nahisi wewe ni wale vi form four vya brn una four ya 42 hapo ulipo ndio maana hata ubongo wako umesha stuck pole, labda nijibu muhongo,tibaijuka nk.

Wamesoma sayansi mbona ni mafisadi???then uchache wao katika matukia una achangiwa pia na uchache wao katika masomo hayo ,namaanisha si wengi. Na vip vituko vya ma doctor au wamesoma HKL??tuliza akili acha kukurupuka.
 
danya,

Kama wewe umesoma sayansi na unazijua hesabu za ratio nadhani utakuwa umesha pata jibu la hoja zako. Fanya hesabu ndogo hapo ulipo ni wangapi wamesoma science na wangapi art then calculate kwa nchi nzima in % ukipata 50%

Kwa pande zote hoja yako naweza kuifikiria nje na hapo ni ujuha tu unakusumbua. Coz nakumbuka nikiwa o level miaka hiyo mwl wangu wa math alikuwa chapombe kuliko walimu woote pale shule na walikuwa wawili tu shule nzima.
 
Last edited by a moderator:
LOOOK

Naona mpini umeingia hilo yowe si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Jamiiforums wamejaa watu walio soma art wengi sana, hafu na wewe unaleta kejeli zako unategemea nini?

ni sawa na mbuzi kujipeleka kwenye zizi la simba, hafu mbuzi elete dharau zake.
 
Nitaenda vyuo vinavyotoa fani za ARTS siku mmoja nikajiridhishe.

We nenda then utakuja niambia tembelea vyuo vyote arts and science den angalia au chuo kimoja tu mfano udsm angalia arts na science
 
Back
Top Bottom