We nenda then utakuja niambia tembelea vyuo vyote arts and science den angalia au chuo kimoja tu mfano udsm angalia arts na science
Unaposema arts unamaanisha nini? na unaposema Science unamaanisha nini, Udsm hawana kitu hicho unachosema, Halafu PSPA, Sociology, Economics, BAGEN, etc si Arts, ni Social Science, maana najua ndio wanaotesa hapo mjini...
sasa nakuja kwenye swali kuu...
Shule kama Tosa Maganga, Iyunga, Rungwe, Ifunda Tech, Njoss, Lyamungo, Tabora, Mirambo na shule nyingine zilikuwa vinara wa vurugu na wanywa gongo miaka kibao na ni hao hao wanaosoma Physics, Chemistry, Biology na Hisabati, hao unawazungumziaje?....
Any way umetumia Sampuli aina ipi na kiasi kugeneralize huu utafiti wako? pia njia gani ulitumia kucollect data zako?
Usipojibu vizuri hayo maswali basi itupie kwenye dustbin ya Twaweza....
BTw.....Mkopo umepata? maana nmeskia first year wengi mmekosa mkopo....