Tabia za wanafunzi wa Arts

Hii ni hasara kubwa sana kama tumefikia huku.
 
Na wewe tabia yako ipoje?? kwa hiyo prof muhongo nae amesoma arts??
 
cku zote mtanzania hatumii muda kufikiria namna ya kuwa kinara kimaendeleo. Mi ni mwanafunz lakn bro ulichoandka nakupa pole na ubadilike wenzio hayo tumeona hayatatusaidia.

Piga shle, piga kaz, tutakuona wa maana ila siyo kunena hayo hujajua hasara za utandawaz?
 
vizuri umeliona hilo ila kubadilka n vigum hii inatokana na athar za utandawazi hakuna kingine
 
Asikose la kuongea tabia na masomo Ni vitu viwli tofauti wale ambao hawajaenda skulna Ni Malaya,walevi Wako upande gani ?
 
Naona ww ulikuwa umelewa kipindi unaandika tabia ya mtu na masomo haviendani kabisa go back and collect more data.
 
Enzi nasoma mimi vilaza wote walikuwa wanapelekwa au kujipeleka mchepuo wa arts.
 
Enzi nasoma mimi vilaza wote walikuwa wanapelekwa au kujipeleka mchepuo wa arts.

Yawezekana tulisoma shule moja mkuu, binafsi mpaka leo hii mtu aliyesoma arts hata kama ni Professor huwa naamini ni kilaza aliyejitutumua.
 
Huu mbishano huwa hauishi ila mi naona kila mtu anachagua pale anapoweza ingawa wengi wanaenda science ili waonekane tu. Arts wengi wanaenda kwa kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…