Tabia za wanaume wafupi

Wafupi sawa tuna gubu
Sawa kila kitu tunajikuta tunajuaaa

Lakini ikumbukwe kwamba hizo tabia haziepukiki
Na mfupi anafanya haya yote ili aonekane
Bila kuonesha utundu na alivyo mfupi ni vugumu watu kumuona katika jamii ya watu
Wafupi ni watu wanaojiongeza saaaaaana
Na wana uwezo ndani yao ambao umejificha ndo maana wanafanya kila namna ili waonekane
Wanatumia sana mdomo kupata mafanikio

Ndugu yangu mfupi usikubali kuwa kimyaaaaa Sana kwani kuna vitu watu hawataviona kutoka kwako
Jiongeze tafadhali

Pia warefu ni wapole sababu kwenye umati wao tiyar washaonekana
Wengi hupenda kusoma masomo ya sayansi
Warefu wapole sanaaaa
Wakimya
Ila hawa warefu endapo atafanya utundu kama mfupi ,Mara moja dunia inamjua
Anakuwa famous ghafla


Lakini in case ya huyo sister kutendwa na mfupi alafu akawajumuisha wafupi wote wapo hivyo
Hapo kadevela
Nazani anataka mabishoo
Head some boys kama mie
Ndio ma head some kama mie utawapata lakn jiandae kutendwa tena na tena


Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na je vp kuhusu wanawake wafupi? Maana mi napendwa sana na wanawake wafupi?

Jamii Forums mobile app
 
Huo sio ukweli ni uzushi tu. Wewe unajua hata idadi ya wanaume wafupi ni wangapi? Acha tabia ya kurundika watu kwenye kundi moja pasipo kuwa na haja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…