Tabia za wanaume wafupi

Yote haya ni kweli na mengineyo, cha kushangaza bado wanapendwa na ku date wanawake wazuri mno?! Hapo ndipo ujuwe akili za wanawake?!
 
Wale wafupi bana kama asemavyo mhenga pascal mayala demu akizileta analiwa, akileta ukorofi anabwagwa, na huwa hawakosi mademu, wanapendwa kama nini, tena sababu ya ufupi wao ni wanaume wa kutafuta hela ile mbaya, most of the time they very handsome, na shughuli wanaiweza, sasa wakibwaga wanawake matokeo yake ndiyo haya, ni kelele kama hizi, nina kaka yangu mfupi ni hatari, wanamlilia kila kukicha, labda mleta mada ni mhanga?! Pole mama..
 
UCIMSINGIZIE KAKA AKO...XEMA NI WEW NI MFUPI
 
UCIMSINGIZIE KAKA AKO...XEMA NI WEW NI MFUPI
 
Hari kadharika na wanawake wafupi ndivyo walivyo
 
Twataka mueleweee tumeshakuwa watu wazima sasa......
Ufupi sio hoja kwani hata huko kwenu wapo wafupi...........
[emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…