bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Toka hapa, kafie mbali..! nguruwe pita sina mkuki mie..!Mweeeee hahaha.kwanza hiyo mada unaionaya mwaka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka hapa, kafie mbali..! nguruwe pita sina mkuki mie..!Mweeeee hahaha.kwanza hiyo mada unaionaya mwaka gani?
Awana tofauti na wanawake tufupifupigubu, ujuaji, visilani, zarau, wagomvi -izo ni baadhi ya tabia zenu siwachukii ila ukweli lazima niwambie
UCIMSINGIZIE KAKA AKO...XEMA NI WEW NI MFUPIWale wafupi bana kama asemavyo mhenga pascal mayala demu akizileta analiwa, akileta ukorofi anabwagwa, na huwa hawakosi mademu, wanapendwa kama nini, tena sababu ya ufupi wao ni wanaume wa kutafuta hela ile mbaya, most of the time they very handsome, na shughuli wanaiweza, sasa wakibwaga wanawake matokeo yake ndiyo haya, ni kelele kama hizi, nina kaka yangu mfupi ni hatari, wanamlilia kila kukicha, labda mleta mada ni mhanga?! Pole mama..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UCIMSINGIZIE KAKA AKO...XEMA NI WEW NI MFUPI
Kuna uzi uliokuwa hapa juƙwaani unasema wanawake wengi wasomi ni masingle mother ukasema hujawahi achwa na mwaname imekuwaje tena agata wangutena siwataki tenaaa wakatafute wafupi wenzao
Uƙimaliza hii uje na ƴanawake wafupi piaakikuona unaongea na mwanaume mrefu ananuna