Tabia za wanaume wafupi

Tabia za wanaume wafupi

gubu, ujuaji, visilani, zarau, wagomvi -izo ni baadhi ya tabia zenu siwachukii ila ukweli lazima niwambie
Mmoja au wawili uliokutana nao kusikufanye ujumuishe wote namna hiyo, nadhani kichwa kingekuwa: Tabia za baadhi ya wanaume wafupi". Mmeo mfupi nini!
 
Sasa mbona mimi mrefu lakini najijua mbishi kiasi kwamba kuna wakati hata najibishia mwenyewe hadi najiongelesha.
 
Back
Top Bottom