Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya.

Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi ninathibitisha kuwa, watu wenye tabia hizo tajwa wana hulka ya kuishi bila kiasi, tamaa na uvivu wa kufikiri na kutenda na tabia hizo zikikomaa ndani ya mtu zinamsukuma mtu kutafuta njia fupi za kufikia lengo analotaka. Jambo ambalo kiuhalisia hata akitimiza bado alichokifanya kitamwingiza kwenye hatia na majuto mengi kwa siku za usoni.

Nina mifano mingi ila mpaka naandika uzi huu kuna rafiki yangu sikuwa najua anafanya shughuli za ujambazi na utapeli, na sababu ya kutokujua kuwa anafanya shughuli hizo (dark hastle) ni kwasababu tulikuwa mikoa tofauti na yeye ni mwajiriwa wa serikali kama mimi.

Leo wenye nchi yao wamekuja kumkamata kama kuku aliyeko bandani, mke wake mrembo, mweupe analia sana, watoto wake wanne wa kike wazuri wanalia kwa huruma sana, jirani yake amenitumia footage za hilo tukio nimesikitika sana. Amefanya matukio zaidi ya 9, kati ya hayo matatu ni ya utapeli, sita ni ya wizi na ujambazi, na kati ya hayo ameua mara tatu.

Nyumba iliyotupu ni makao ya shetani, tufanye yaliyo haki, tufanye kazi halali, tuwe na kiasi ili mwisho wetu uwe mzuri.
 
Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali maana ni mambo nayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi ninathibitisha kuwa watu wenye tabia hizo tajwa wana hulka ya kuishi bila kiasi, tamaa na uvivu wa kufikiri na kutenda na tabia hizo zikikomaa ndani ya mtu zikikomaa unamsukuma mtu kutafuta njia fupi za kufikia lengo analotaka jambo ambalo kiuhalisia hata akitimiza bado alichokifanya kitamwingiza kwenye hatia na majuto mengi kwa siku za usoni.

Nina mifano mingi ila mpaka naandika uzi huu kuna rafiki yangu sikuwa najua anafanya shughuli za ujambazi na utapeli na sababu ya kutokujua kuwa anafanya shughuli hizo (dark hastle) ni kwasababu tulikuwa mikoa tofauti na yeye ni mwajiriwa wa serikali kama mimi.

Leo wenye nchi yao wamekuja kumkamata kama kuku aliyeko bandani, mke wake mrembo, mweupe analia sana, watoto wake wanne wa kike wazuri wanalia kwa huruma sana jirani yake emenitumia footage za hilo tukio nimesikitika sana amefanya matukio zaidi ya 9 kati ya hayo matatu ni ya utapeli sita ni ya wizi na ujambazi na kati ya hayo ameua mara tatu.

Nyumba iliyotupu ni makao ya shetani, TUFANYE YALIYO HAKI, TUFANYE KAZI HALALI, TUWE NA KIASI ILI MWISHO WETU UWE MZURI.
Sawa ,
Ingawa mwishoni umeonesha kwamba dhumuni lako ni kutujuza kuhusu huyo jirani/rafiki yako.
Sababu nyingine ni:-
-kukosa upendo kwa binadamu wenzako,
-kukosa uvumulivu,
-kukata tamaaa,
-kujiripua/kujitoa mhanga.
 
Naamini umejifunza zaidi ya hilo utakuwa una matatizo mengine binafsi zikiwemo tabia tajwa
 
Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya.

Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi ninathibitisha kuwa, watu wenye tabia hizo tajwa wana hulka ya kuishi bila kiasi, tamaa na uvivu wa kufikiri na kutenda na tabia hizo zikikomaa ndani ya mtu zinamsukuma mtu kutafuta njia fupi za kufikia lengo analotaka. Jambo ambalo kiuhalisia hata akitimiza bado alichokifanya kitamwingiza kwenye hatia na majuto mengi kwa siku za usoni.

Nina mifano mingi ila mpaka naandika uzi huu kuna rafiki yangu sikuwa najua anafanya shughuli za ujambazi na utapeli, na sababu ya kutokujua kuwa anafanya shughuli hizo (dark hastle) ni kwasababu tulikuwa mikoa tofauti na yeye ni mwajiriwa wa serikali kama mimi.

Leo wenye nchi yao wamekuja kumkamata kama kuku aliyeko bandani, mke wake mrembo, mweupe analia sana, watoto wake wanne wa kike wazuri wanalia kwa huruma sana, jirani yake amenitumia footage za hilo tukio nimesikitika sana. Amefanya matukio zaidi ya 9, kati ya hayo matatu ni ya utapeli, sita ni ya wizi na ujambazi, na kati ya hayo ameua mara tatu.

Nyumba iliyotupu ni makao ya shetani, tufanye yaliyo haki, tufanye kazi halali, tuwe na kiasi ili mwisho wetu uwe mzuri.
Kwahiyo kafanya huo umafia mkoa mmoja matukio 9
 
Kiasi = self control

Kiasi ni kitu muhimu sanaa kwa maadili ya mwanaadamu na hii inaanzia chini kabsa yaani malezi yako umeyapata wapi? na kwa Nani? Huyo ndio atakupandikiza hiyo self control=kiasi

Hii haiji tu ukubwani na hiyo inakuaje-control kila aina ya tabia yako ukiwa nayo hiyo self control kuanzia ibada mpaka mahusiano na mawasiliano na wengine yaani unaweza kusema ni tabia njema hiyo self control unaweza kuji turn kwenye kila hali
 
Back
Top Bottom