Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!

Usihofu sana tatizo la ktmegewa kwa sababu hakuna kabila lisilomegwa. Ni suala la kumuomba mungu akupe mke mwemaItabidi nichelewe kidogo kutangaza uchumba ili niruhusu uchunguzi wa kina na namna gani nitatatua haya mapungufu-
Hili swali sijui lina ukabila.... au ukabila unanyemelea hili swaliWanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!
bro...... thanks for askingUnaoa mtu au kabila?
Pia nasikia ni wazuri kwenye 'ndumba' za kuwafanya waume zao kuwa 'mabwege'.
Hili swali sijui lina ukabila.... au ukabila unanyemelea hili swali
vipi umeshajicheki wewe mwenyewe na kutoa boriti kwenye jicho lako tayari kiasi kwamba uko tayari kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako??
Binafsi kabila halinisumbui kama ambavyo tabia za wazazi zinanisumbua
kaka hapana ukabila wala udini, japo mimi ni ya kabila jingine lakini nahitaji kujua kabila ninaloliface kina tabia zipi? Nisije aibika ukweni kwa kudhani ni mambo ya ajabu kumbe kwao ndio maisha, hata hivyo hakuna namna ya kutenganisha background na maisha halisi ya mtu, ndiyo inamfanya awe alivyo, watch out kaka-