Tabia zao please!

Tabia zao please!

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
400
Reaction score
140
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.
 
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!
 
Jaribu kuwasiliana na MMM au George Mwakalinga. Afu hivi kuna Wanyakyusa ambao majina yao hayaanzii na M?
 
nashukuru kaka, dah kwa hili kweli inabidi nijipange!
 
Jaribu kuwasiliana na MMM au George Mwakalinga. Afu hivi kuna Wanyakyusa ambao majina yao hayaanzii na M?

Ni wachache sana ingawa wapo, hasa dot com generation!
 
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!

Kumbe ndo walivo!
 
Itabidi nichelewe kidogo kutangaza uchumba ili niruhusu uchunguzi wa kina na namna gani nitatatua haya mapungufu-
 
Pia nasikia ni wazuri kwenye 'ndumba' za kuwafanya waume zao kuwa 'mabwege'.
 
Itabidi nichelewe kidogo kutangaza uchumba ili niruhusu uchunguzi wa kina na namna gani nitatatua haya mapungufu-
Usihofu sana tatizo la ktmegewa kwa sababu hakuna kabila lisilomegwa. Ni suala la kumuomba mungu akupe mke mwema
 
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.
Hili swali sijui lina ukabila.... au ukabila unanyemelea hili swali

vipi umeshajicheki wewe mwenyewe na kutoa boriti kwenye jicho lako tayari kiasi kwamba uko tayari kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako??

Binafsi kabila halinisumbui kama ambavyo tabia za wazazi zinanisumbua
 
mi nimo tu j amani,,,lakini kuuliza ndio kujua ni wanani wakyusa???ni mtu mnene au ni kabila flani wallah mniwie radhi..ndio kujua huku,,
 
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!

Mwana hapa umemkatisha tamaa, kaaahh, na ww unaanza na Mwa si ni wa hukohuko, hii unayosema labda ni kweli nini? basi this guy must watch out, hata akimwoa amchunge mkeo hadi toilet, ila kama ni kunguru hafugiki amwache, maana inatisha kaah
 
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!

Wanaume wakoje?
 
Hili swali sijui lina ukabila.... au ukabila unanyemelea hili swali

vipi umeshajicheki wewe mwenyewe na kutoa boriti kwenye jicho lako tayari kiasi kwamba uko tayari kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako??

Binafsi kabila halinisumbui kama ambavyo tabia za wazazi zinanisumbua

kaka hapana ukabila wala udini, japo mimi ni ya kabila jingine lakini nahitaji kujua kabila ninaloliface kina tabia zipi? Nisije aibika ukweni kwa kudhani ni mambo ya ajabu kumbe kwao ndio maisha, hata hivyo hakuna namna ya kutenganisha background na maisha halisi ya mtu, ndiyo inamfanya awe alivyo, watch out kaka-
 
Unataka kujua namna ya kutoa mahali eehh?
 
Back
Top Bottom