Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

Ndo hivyo kuvumiliana hakuna mkamilifu.na asikudanganye mtu hulka huwa ni tabia haiwez kupotea.hvyo ni kuishi nae tu ila asiwe na hulka mby km umalaya bora zingine tu
Changamoto kubwa ni pale inapojifunua tabia fulani ya kuchukiza kabisa wakati tayari mko kwenye ndoa na mna watoto
Hata kama ndoa yenu inaruhusu talaka bado kuna maumivu yake mengi tu na setbacks nyingi tu hasa kwa watoto ambao wamezoea kuwaona wazazi wote wawili
 
Linapokuja swala la tabia ya mwenza nishamkabidhi mwenyezi Mungu alisimamie mana he knows better than me,ntajitahidi kuwa bora kila siku na kumuombea mwenzangu baas,hata sisi wenyewe tuna kasoro nyingi sana tunavumiliwa,hatuna budi kuwavumilia wenza wetu pia,hakuna mkamilifu,ukipata mwenye afadhali akakushika basi shikamanaaa
 
Lady, kweli kila mtu ana mapungufu yake, so kuchukuliana mizigo hakuepukiki na sio kuvumiliana ( uvumilivu una mwisho ujue, afu we are supposed to enjoy life na sio ku-endure life). Kama ni mapungufu ambayo unaweza ukayaaccept basi itapendeza na sio unakaa kila siku unanung'unikia tabia ya mwenzio, lakini ndo upo tu kisa no one is perfect nope. Basi inabidi uangalie mzigo ambao unaweza kuubeba. Ingawa let's be honest, Karibu kila mtu ana tabia ambazo hawezi kuzivumilia. Mfano mwanaume wako awe anakupiga hadi unazimia mmh sijui kama utavumilia. Kuchukuliana yeah lazima, lakini usichukue mzigo ambao utakufanya kila siku ulie au kukuharibia maisha yako kabisa.
 
Isije ikawa ni yule daktari wa mahusiano...
 
Yah ni kweli lazma kuwe na cutoffs, Kuna kasoro zinavumilika na zingine hupaswi kabisa kuvumilia
Kama kipigo looh Mungu aepushie mbali,
 
Kuna watu wanajua kuficha makucha mkuu siku yakija kutokea unajiuliza ni yuleyule au mwingine? Cha muhimu keep in mind kwamba unaishi na binadamu anayeweza kuwa na mapungufu au kukosea sehemu. Utakuwa na amani na above all utakuwa understanding na utaweza kumchukulia na kumhifadhia mapungufu yake.
 

Duhh si Yule Mwalimu wa songs? Kama ndiye jamaa siku hizi kaibukia Lutheran anachapa injili kama hana akili nzuri. Ndio amezidi kujibinua
 
Bravo Mkuu,natoa ushauri tu,nakuomba andika vitabu tafadhali,utauza mpaka utajishangaa ni vipi BWANA MUNGU MUUMBA ALIVYOKUZAWADIA MATERIAL,anyway ni ushauri Mkuu,na hii sisemi KUJIPENDEKEZA kwa ajili ya nilivyo KUKOSEA huko nyuma,HALELUYAH ,.,.,.BWANA ASIFIWE NA KILA GOTI LITAPIGWA KWA BWANA YESU WA NAZARETHI,.,.,AMEEEEEEEEEEEEEEEEN.
 
Umeolewa??
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…