Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

Hii pia inatokana na watu kutokubali kuskia ukweli!
Binafsi imewahi kunitokea kumpenda binti flan na kumwambia a2z kuhusu mimi baada ya hapo zarau zilizofata sitakaa nisahau,
Lakini ukiwadanganya utafurahia mapenzi ndani ya ndoa itajulikana hukohuko!
 
b
bora kuchelewa utaweza kujihami kuliko harakaharaka haina baraka ndugu kwenye haya mambo hayataki pupa.Narudia tena better late this works for me na sijajuta for all these years i thanks God sijui kwa wengine.lakini inategemea utakavoona.
 
Sijasema uwahi wala uende kwa pupa. Kuna tabia hauwezi kuzigundua bila kuishi na mtu, haijalishi mtadumu kwenye mahusiano kwa muda gani.
 
Kutoa sababu za kimwili(sex, mvuto nk) pesa , pesa, pesa ni chanzo cha migogoro ktk ndoa za wafanyakazi/wafanyabiashara (yaan wote ni watafuta ji) kuna mwana saikolojia mmoja alisema mchepuko wa kwanza ktk ndoa ni pesa; sisi huamishia mahaba ktk pesa na kuwasahau wenzi wetu,, mwishoni ni ugomvi usioisha na badae kuachana
 
We Scorpios, can tell/smell the phonies from the get-go. 'fore you're let in on-board, all your baggage are thoroughly scanned. Hand baggage, hold baggage, you baggage; checked.

Where my Scorpios at?
Tuko pamoja. . Ukweli mtupu. Loyalty, Honest, detectives, secretive, and Passion play part..
 
Tambua kwamba kuna tabia za kuchukiza na pengine zisizovumilika.. jiandae kuzikabili na kuzikubali.. .. hakuna mkamilifu kila mwanadamu ana roho ya kishetani ikiwemo WEWE

yaani kwanza nimejichunguza ghafla na nikaliona lishetani lililoweka kiti katika roho yangu nimecheeeka saana aiseeeee, what kind of shetani do you have mshana if u won't mind sharing thoughπŸ˜‰πŸ˜‰
 
yaani kwanza nimejichunguza ghafla na nikaliona lishetani lililoweka kiti katika roho yangu nimecheeeka saana aiseeeee, what kind of shetani do you have mshana if u won't mind sharing thoughπŸ˜‰πŸ˜‰
Hahhahahaaaa ushirikina [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unknown [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hahaha ahhahaha hahahaa hongera, wengine hujui hata hawajitambui kama wanamadhaifu tena wako wanajiona wapo perfect, busy pistol kidole kuona madhaifu ya wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…