Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

hili swala linakera saaana katika ndoa nyingi
 
Duh!
 
Na maombi pia ni Muhimu sana

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
nlikuwa naskiliza speech ya Ngozi wa Nigeria kuhusiana na masuala ya feminism akasema "mwanawake anapretend sana mpaka anakngia kwenye ndoa sasa bakisha ingia tu, na nia yake ilikuwa kuingia basi anachoka kuendelea na pretend yake kwahiyo ndo unaanza kuona tabia za ajabu zinachipuka" hapo ndo tunaanza kushangaa na kudai kuwa tumepotea. Hivyo wakuu maombi na kumshirikisha Mwenyez Mungu n muhim
 
Duu[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Ukiona haujajua mapungufu ya mwenzako basi jua upo kwe mahusiano na mtu hatari sana,
 
Ukweli tupu, ila huyu dada mwenye manati ndio amefanya nicheke tuu maana ime reflect nakutoa support yaliyo andikwa…
 
Ukweli tupu, ila huyu dada mwenye manati ndio amefanya nicheke tuu maana ime reflect nakutoa support yaliyo andikwa…
[emoji2] [emoji2] [emoji2] moyo wa mtu ni kiza kinene
 
I like this. U nailed it Nigg.a
 
Astaghfilullah
 
kaka mshana me ni muhanga ya hayo mambo sisemi ongo ila mwanamke ni mtu hatari sana mpaka sasa nimeamua kuishi na mwanangu tu.baada ya mateso
 
kaka mshana me ni muhanga ya hayo mambo sisemi ongo ila mwanamke ni mtu hatari sana mpaka sasa nimeamua kuishi na mwanangu tu.baada ya mateso
[emoji15] [emoji25] kagombe pole sana japo hii kitu naona kama ni kote kote... Kuna wanawake pia wanatuona wanaume kama mashetani wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…