Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
Jana tuliona tabia zinazomfanya asiwe na hisia nawe.
Leo tuangalie tabia zenye matokeo mazuri.
Ukifanya haya ni rahisi kudumisha upendo katika mahusiano.
Kuna maana nyingi za upendo kwenye mahusiano.
Lakini maana kubwa ni pale mnapofurahi pamoja (mkiwa pamoja sio kwenye simu) na mkafanya mapenzi kwa angalau kila mnapokua pamoja.
Na ili kulidumisha we cha kufanya ni kuwa kiongozi na kumtoa out, kufurahi naye na kumuongoza kufanya mapenzi.
Ile upendo ya kwamba tunaishi pamoja tu lakini hamfanyi kitu au sms za nakupenda bila vitendo ni upendo hewa.
Hata upendo wa kibiashara ni hewa kama hamfanyi wafanyayo wapenzi.
Na kama mtu ni wa mpaka ndoa, angalia vitendo. Je, anakubali umuongoze? Je, anakubali mkiss? Je, mnapata muda pamoja wa kufurahi?
Kama hampati furaha, anza kujiangalia wewe.
Angalia kwanza kama unafanya haya kabla ya kumuhukumu.
Kuwa na kitu nje ya mahusiano.
Malengo, au unachokipenda, marafiki au chochote kisichohusiana naye.
Hii itakusaidia kimawazo usimuwaze sana.
Ukimuwaza sana mwanamke atakuendesha. Na akikuendesha hisia zake zinapungua kwako.
Kijali na ukithamini.
Weka malengo yako kwanza.
Mwanamke anaweza kukasirika kuhusu hili. Lakini usibadili mawazo na usiangalie kukasirika kwake.
Hii itakusaidia usibweteke.
Usitabirike.
Mahusiano yawe moto moto.
Mapenzi yawe amsha amsha.
Usiwe mtu unayeeleweka mpaka unaboa.
Akikuambia skuizi unamboa, ujue ni kwamba skuizi unatabirika sana.
Siku nyingine mwambie tu jiandae tutoke bila kumwambia mnaenda wapi.
Siku nyingine badilisha mnavyofanya ngono.
Siku nyingine baada ya penzi ndo mtoke.
Siku nyingine baada ya penzi msilale.
Siku nyingine usimpe hela kabisa.
Siku nyingine mponde kidogo.
Siku nyingine msafiri pamoja.
Sababu unafanya kile kinachokujia kichwani bila kuvunja haki zake na bila kujali atafikiriaje.
Yote hayo utayaweza kirahisi ukiwa na akili yenye mvuto.
Yani mawazo yako yanatoka kwenye ivi huyu atanifikiraje. Kwenda.
Leo ngoja nifanye hivi, na tutafurahia.
Yani kwamba wewe ndo chanzo cha furaha yenu.
Kwaiyo chochote utakachokifanya (bila kumnyanyasa) atakupenda zaidi.
kwa kuwa bado hakujui vizuri.
Usitangulize “sina hela”.
Hayo mawazo yatakufanya uendelee kuwa mfungwa wa kutokua na hela.
Hauto furahia chochote maishani hasa mahusiano.
.
Tabia ya kumridhisha kwa mahitaji yake.
Simaanishi kila anachokuambia umfanyie.
Kuna muda usipoongea na mwanamke muda mrefu atakuja na swaga ya kukuomba hela. Iyo ni sababu tu ya kuongea nawe sio kwamba ana shida nayo.
Ila namaanisha mahitaji ya kihisia na kipenzi.
Umjali na kumsikiliza, umpitishe katika hisia tofauti, uwe mwamba wake, uwe kiongozi wake, umtoe out na vitu vingine vinavyogusa hisia zake.
Umtawale kitandani, anataka umfikishe kileleni, anataka mchezeane vizuri, mchombezane na mahitaji mengine ya kimapenzi.
Zingatia mawasiliano.
Mawasiliano hubomoa au hujenga mahusiano.
Lakini sio kwamba hufanyi mawasiliano.
Nina uhakika unafanya. Ila hufanyi vile inavyotakiwa. Wengi wanaongea na mwanamke kama mwanaume mwenzao. Japo mwanamke anaongea hisia.
Ongea naye kwa kumwambia aeleze anavyojisikia, sio anavyofikiri.
Siku zote usikubali kuweka kiporo.
Kama unaona kuna kitu kiseme muda huo huo. Usiogope matokeo yake.
Mfano, mpo mnapata cha usiku na unaona kuna kitu hakijakaa sawa/ au haeleweki, ukamuuliza alafu akakuambia hakuna kitu/ wala usijali/ ntakuambia kesho/ nipo sawa mbona au kitu kama hiko, usikubali kukipotezea.
Mwambie tu “naona kuna kitu hakijakaa sawa, ebu nambie ni nini hiko” hata kama akiendelea kugoma kukuambia nawe usipotezee.
Mwambie “tuongee kuhusu hili, wala tusilipotezee, nataka tuwe na mazungumzo mazuri, nambie…” usikubali mpaka akuambie.
Muda huo usimjaji wala kumshutumu ili akuambie kiundani zaidi na umuulize anajisikiaje kuhusu hicho kitu. Umsikilize, sio umkatishe katishe kumrekebisa au kumbishia kitu.
Ni vyema ukavishughulikia vitu vikiwa bado vidogo kuliko kuweka viporo vingi…
…Wengi hupuuzia vitu sababu ya woga.
Wanaogopa tukianza kuongea hapa mwanamke atakuja juu.
Kisha wote mtakasirika na mtaambiana maneno ya ajabu ajabu.
Usiogope hilo, kama ukianzisha mazungumzo na akaja juu we jitoe.
Mwambie “mudi zako za makasiriko sizitaki, ukishajirudi na ukawa tayari kuongea ki utu uzima ndo tutaongea, saivi ebu niache”.
Tahadhari.
Usitake mawasiliano mengi na mwanamke unayeanza naye mahusiano.
Hiyo ni kwa ajili ya mwanamke ambaye mnajuana vizuri na sio kwa ajili ya waruka njia.
Hivyo, kuwa imara na ujue kutofautisha mwanamke wa kuongea naye na mwanamke wa kumpotezea.