Tabia zisizo maadili za kuziepuka. Pitia hapa tujielimishe!

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Moderator msibadili maneno makili yaloandika Wala kuufunga Uzi huu ili watu wajifunze yaliyokusudiwa ...🙏🙏🙏

Ujinga ni kuto kujua jambo, mjinga akielimishwa hubadirika na kuwa mweredi.

Mpumbavu ni mpuuziaji wa Mambo, huwa anajua kinachopaswa Ila anafanya kinyume chake, kwa asilimia kubwa hufanya isivyo mpasa bila kukusudia jambo lolote zuri au baya. (Yan anajua Ila hajali)

Mshenzi ni sawa na mhaini, yupo juu ya mjinga na mpumbavu. (yeye hufanya vitu ambavyo katika mazingira ya kawaida vilipassa kuepukwa kabisa) sababu vina haribu ubora wa maisha kwa wanao mzunguka.

ushenzi ni neno linalotumika hata kwenye maandiko matakatifu kuwaelezea watu wasio wastaarabu kabisa ambao wana ufahamu wa maadili ila huyakiuka kabisa.

kiujumla ukikosa kufanya vitu vya kiungwana au kistaarabu wewe unakua mshenzi... haijalishi unavifaham vitu husika au lah. sabab utash wa ustaarabu ndo kitu humtofautisha mtu na mnyama.

Kuna vitu ukifanya mbele za watu au unapoish na mtu yoyote na hata Kama umekutana nae kwa siku moja tu unaweza pelekea kuchukuliwa vibaya milele (mshenzi), vitu hivyo ndivyo kwa tabia ya pamoja vinaitwa : kukosa ustaarab

1.UCHAFU WA MWILI NI USHENZI

jifunze kuhakikisha Hali yako ya mwili haimuudhi mtu wa jirani yako, Yani hata Kama una nguo peair mbili bas make sure unazifua na kuwa nadhifu ili watu wa karibu yako wasije kiathirika na uchafu wako binafsi.

usafi mwingine Kama kuswaki na kuoga ili usinuke vibaya kwa mtu wako wa karibu ni muhim pia.

issues za kunyoa sehem zote za mwili ni Jambo la kistaarabu, matharan kwa asiyetunza usafi wa nywele na aidha kuzinyoa zile za sirini huweza kusababisha kadhia us harufu na chawa. sabab chawa humea vizuri kwa mtu mwenye nywele zilizo dumu bila kufanyiwa usafi stahiki kwa ratiba.

2. Usafi wa chakula

hata Kama ni mwanaume jali usafi wa chakula kwajir ya kuwaweka wanaokuzingira katika fikra sahihi kukuhusu ... safisha vyombo ulivyolia chakula au mahala ulipolia chakula hiyo ni nidham nzuri.

hata Kama wewe ndiyo mme wa nyumba onyesha mfano Bora walau kwa kujarib sehem sahihi za kuwa unatunza vyombo Mara baada ya kula Hasa ... Bora ukaagiza mtoto atoe vyombo na afute ulipolia kuliko kunyanyuka Kama nguluwe.

3. Usafi wa chooni (musalani)

jifunze kumwaga maji ya kutosha chooni, usiache harufu ya mkojo au alama ya kinyesi chako rafk ang. na uhakikishe hujisaidii pembeni haha zote kubwa na ndogo.

muhim zaidi jifunze kutawaza kwakutumia maji Safi na ikiwezekana uwe na tabia ya matumizi ya sabuni ili kuzuia harufu mbaya mwilini mwako na uchafu pia.

utakuta mtu katawaza huko hata bila sabuni na mikono hajaosha kwa sabuni unaendelea na shughuri za ofisini au nyumbani. mikono yako michafu unaendelea kusambaza uchafu na ofisi au nyumba nzima inakula uchafu wako (shenzi we)

4. WEWE SIO MBUZI JALI UNAPOLALA HATA KAMA NI MWANAUME

Tandika malalo Kila unapokuwa wa mwisho kuamka na ufanye usafi chumbani usiwe unaamka Kama nguluwe na pia usiwe unamwachia nduguyo usafi wa chumba Kila siku.

chumbani ni sehem muhim ya kushirikiana kuisafisha, hata Kama mkeo yupo elewa kuwa chumbani Sio sebuleni pale unaweza deki pia . acha ujinga.

5. UTULIVU
Epuka kuwa mbwagukaji, unakera watu na unawafedhehesha watu wa karibu yako.

mfano epuka kuongea na simu mda mref mbele za watu au mbele ya nduguyo mnaeish nae. na pia ukiweza epuka kupayuka Sana unapo ongea na sim

unakuta umepanda daladala au bajaji Jama anaongeza na sim Yan dah, mpaka unachoka kuvumilia sauti yake, that's not gud.

au unakutana na mtu stand anakupihia makelele utadhan mpo uwanja wa mpira .

au mpo mbele ya strangers mtu anaongeza kuhusu vitu private Hadi unaona aib kuwa dah .. hapa hata Mimi naonekana dishi hapa .

6. KUJISITIRI
Yan siku hizi Kuna Hadi wanaume hawawezi KUJISITIRI sawa sawa. ni aib kubwa Sana... mnatuangusha wazee.

unakuta mtu kainama kidogo anarekebusha tairi ya gari Tako lote na nywele zake lipo nje .. Yan huwa nafedhehekavsana.

mwili ni private property jamani .. na Kuna sehem zingukua ni zakupendeza basi MUNGU angeziweka hapa juu kwenye paji la uso. Sasa wewe na ujinga wako unaacha kufunika vizuri hizo sehem unazionyesha kwa watu kama njugu. (shubaaa mit)

mwanadam yoyote vaa nguo ya ndani inayozuia mwili kujichora Sana na pia inayozuia mwili kushikana na nguo hizi za nje. .. kutaka tuone mwili wako the way umejichora ni ushenzi tu .na ni ushenzi Mara kumi anapofanya mtoto wa kiume.

mtoto wa kiume, vaa bukta upande juu vizuri, pata vest au ki T-shirt chembamba na ukichomekee vizuri nje ya shati yako ya nje. Yan Sio umeinama kunyanyua kitu unatuachia Tako nje .... PUMBAVU ZAKO . shenzi kabisa. mtoto wa kiume unatuonyesha upuuzi wako hapa.

7. WEREDI WA MWILI (BODY FITNESS)
kuwa na mwili legelege uso na afya ni ushenzi na ni usumbufu kwa wanaokuzunguka. uwe mwanamke au mwanamke.

make sure hata Kama hufanyi zoez basi kula mboga mboga kula na matunza kuliko unavokula chakula vingine ili mwili wako usiwe BONGE kupitiliza na au usiwe ni wakuumwa Kila siku. (usiwe kikwazo kwa wanaokuzunguka)

mtoto wa kiume unakuta anamwili Yani hata kukimbiza mwizi hatua kumi hawezi .. MBUZI hata akakata Kamba kushika hawezi. pumbav kabisa. shenzi.

9. WEREDI WA KAULI YA MDOMO
ikiwa wewe unapenda kuongeleshaa kwa ukali au kwa fedheha, tunza moyo wako wa kujiwenga mwenyewe Ila Kila mtu awe mkubwa au Mdogo mwongereshe kwa lugha ya staha.

Kuna watu ukimkuta anaongeza na mwanae utadhan anaongeza na mtu wa kujifunzia matusi...

kwa huruma Sana Kuna watu huongea na wake au waume zao kwa namna hiyo ya kishenzi kabisa.

10. SIRI BINAFS (PRIVACY)
Jali Siri za wenzio. hata Kama ni mumeo, mke, mtoto au mshkaji wa kawaida. .. usimfatilie Sana issues zake mpaka ukavuka mipaka.

hapa Sana Sana ni kwenye sim na Mambo mengine pia. unakuta mtu ukimpa tu sim dakika moja yupo kwenye text Mara picha Mara hivi Mara vile.

Jamani huu ni ushenzi pia.

UHURU WAKO ULIPOISHIA NDIPO UHURU WANGU UNAPO ANZIA. ...Ikiwa sishiki sim yako kukagua yang iache hivyo hivyo ... Hata Kama ni mzazi hupaswi kuvuka huo mpaka .

Tunaweza kuongeza ustaarab mwingine ili tustaarabike sote 🙏🙏🙏
 
UHURU WAKO ULIPOISHIA NDIPO UHURU WANGU UNAPO ANZIA. ...Ikiwa sishikinsim yako kukagua yang iache .
Nimeipenda hii
 
Naongezea.

MILIKINI NA LESO na hakikisha ulipo ipo, ni aibu mtu mzima unapiga chafya au unatokwa na mafua unajifuta na viganja au unajifutia kwenye nguo, leso zipo hadi za mia tano.

Somo kubwa hili kaka. Being a gentleman means being gentle to yourself personality first ..... 🙏🙏
 
Well said 👏
 
Back
Top Bottom