Tabia zisizo maadili za kuziepuka. Pitia hapa tujielimishe!

Kagua Ila usivuke mipaka.

Mipaka ipi? Sina mipaka kwa wanangu me or ke mpaka nitakapoona wamefika hatua ya kujitambua sawa sawa.

Kisa mipaka utakuta libaba kama wewe linamtongoza mwanangu huko kwa simu mimi niwe na kivuli cha mipaka
 
Mipaka ipi? Sina mipaka kwa wanangu me or ke mpaka nitakapoona wamefika hatua ya kujitambua sawa sawa.

Kisa mipaka utakuta libaba kama wewe linamtongoza mwanangu huko kwa simu mimi niwe na kivuli cha mipaka


Okay let's have some conversation kidogo ili nijifunze la kujifunza pia toka kwako.

Mimi nimekuelewa Sana uliposema kuwa utamchunguza Hadi ifike siku utayojitidhisha kuwa anatosha kujisimamia.

Imani yangu Mimi ni kuwa mipaka ni lazima hata hivyo ili kumfundisha mtoto haki ya faragha.

Ukilea mtoto Huku ukim ingilia kwenye vitu vyake personal atakuja ingiliwa the same na mmewe au na mkewe. Af at torarete ujinga. Sabab tu ameanza kufanyiwa tokea home.

Mtoto mfundishe kujisimamia,
Mfundishe ujasiri na awe anaweza kuripoti Mambo ambayo atahisi ni ya tofaut ktk usalama wake. Sabab haitakuwa naye milele.

So unamchunguza Ila Huku ukimwacha aji manage mwenyewe isipokua mazingira magum Sana una intervine.

Nna Mchumba ang (ana 22 yrs) .. tumejuana nae kwa myaka mitamo ilopita Ila tumeanza kudate majuz juz tu... As during the whole time niliitika Kama brother kwake .

Sasa toka tuanze kudate huwa naona huyu dogo ni mwanamke submissive kupita kias ... (Yani naona kabisa akikutana na fala anaeza pigwa na kitu kizito Hadi asahau hata jina alilopewa na wazazi wake .. nikawa sijui chanzo ni nini ... )
#Japo ana nidham ndio.. Ila naona ana woga ulopitiliza ndani yake.

Sasa kuja kukaa sawa nikajua kuwa daima amelelewa na mzee anaembana kupita kias, so dogo amezoea kufwatiliawa hata akifanya vikosa vidogo hua anabainika ...

Hii nomeijua mwezi march Dogo akanicheck kwa sim ya rafk ake ananambia ivi unajua Uncle ame hack sim yang ko Kila tunacho fanya anakijua... (Hiyo ni baada ya kuonywa na mze wake after kujua kua Binti kainhia kwenye husiano serious na mnyama hapa)
Nikamwambia well wewe unachukuliaje ??

Dogo akasema me naona sawa yeye ni kama baba angu siwez mwekea mipaka ya hivyo Ila nna hofu na wewe usije chukulia vibaya.
Na Mimi nikasema sawa Sina shida pia yeye ni mzazi siwez mwekea mipaka .

From there nikaanza kumchatisha dogo message za kimahaba kipita kawaida yetu ...
Hehe😁😁😁 .
Na zingine zingine kiukweli ambazo Sio kawaida yang ....

Na dogo kajitoa kwang as anasema hatak kunipoteza so anajib na akijua uncle ake anaweza kua anaziona... 😁😁😁😁😁...

Saiv nnavo ongea huyo mzee kapandwa na presha baada ya kuona message nzito nzito ambazo nimezituma makusudi tu last week kabla dogo hajard kwao kwajir ya pasaka ...

Dogo kafika kwao Mzee Kamnyang'anya dogo sim ...
Nasubiri pasaka ipite dogo arudi chuo .. nione Kama dogo ataenda Chuo bila sim .. shubaaamit ... Na nipo napitia pitia nyuzi za maneno matam ya kukwambia mpenzi ... Ili huyo mzee azidi kupagawa na text nnazo mtumia mwanae .

Mipaka muhim .
Mtoto wa myaka 22 anahackiwa ....
Me huyu mze akiendelea kusoma text za dogo ntaja niwape taarifa mbaya hapa JF ... 😎😎😎❀️❀️❀️.
 

Kama unadate na mtoto wa miaka 22 kwangu naona yafuatayo.

1.wewe ni kijana mdogo usieelewa nini maana ya kulea na Duni ya sasa inahitaji tuwakingie watoto wetu vifua sanaa.

2.Kama ni mtu mzima ni mtu mzima asie na adabu.

Unafurahia kutuma sms ambazo zinamdhuru mzee wa watu kwa namna moja au nyingine je ikitokea huyo mzee amepatwa na kifo sababu yenu unafikiri bint wa watu atakua salama?

Nafsi ya huyo bint itakua na majuto sana nakuhakikishia.

Unatarajia ukitaka kuoa huyo bint wa watu watakupokea kweli kwao.

Huna adabu, umekuja na andiko lako lankifalafala kumbe hufikiri hatua mbili mbele.

Siku sio nyingi utanasa kwenye mtego wa huyo mzee hata kama mtoto wake yuko above 18
 

Kiongozi am on my late twenties ... And am marrying the very girl am talking about ( upon her graduation on the comming year ntakua tiari nishakamilisha vitu vyote)

Hivyo Kama umenizidi umri kiongozi shkamoo ...
Ila nifaham vizuri kuwa sijaoa bado. Na Sina tabia za kishenzi. πŸ™πŸ™. By any means.

Ila nathamini Sana ustaarabu . Sina imani Kama unaweza kuwa na kijana wa lika langu by any means . Sabab mzee wangu me ni mtu wa 70 December 12.. Yeye na rafiki wa lika lake hawajui Sana haya ma social media....

Nnachoweza kukwambia ni kuwa vijana mnapaswa kutuachia nafas ya kukua kwa privacy .. otherwise Kama na ninyi mkiwa mnakuwa (hata Kama ni bro kwang) Sina imani Kama baba zetu waliwafatilieni hivyo
 


Mzee ni mwana Simba mwenzangu yule ... Tutakuja patana nae Sana ... Yani itakua ni mwendo wa kiwasuta tu utopolo pale mtaani kwake. 😎😎
 
Mzee ni mwana Simba mwenzangu yule ... Tutakuja patana nae Sana ... Yani itakua ni mwendo wa kiwasuta tu utopolo pale mtaani kwake. 😎😎
Mpuuzi wa mwisho weww unachowaza ni Simba na Yanga

Hujali afya ya mweo mtarajiwa

Beach
 

Umeshajua tabia na sms zako zinamuumiza mzee wa watu mpaka anapata presha ,

ushajiuliza akifa sababu ya hiyo presha unayotengeneza kwa makusudi?

Usijibebeshe hatia unazoweza kuziepuka kijana.
 
Umeshajua tabia na sms zako zinamuumiza mzee wa watu mpaka anapata presha ,

ushajiuliza akifa sababu ya hiyo presha unayotengeneza kwa makusudi?

Usijibebeshe hatia unazoweza kuziepuka kijana.


Hapo umenishauri vyema....
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
ya wanaume kutojali jitu likiinama kidogo makalio yote nje kwa kweli inakera na unakuta hata halishtuki. na tabia mbovu unakuta choon ndoo ipo na inamaji full tu unakojoa unatema na mate na maji humwagii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…