Tabiri matokeo sahihi ya mechi ya fainali ya Yanga Vs Azam na ujishindie elfu tano

Tabiri matokeo sahihi ya mechi ya fainali ya Yanga Vs Azam na ujishindie elfu tano

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kesho ni fainali ya Azam Sports Federation kati ya Yanga Vs Azam. Tabiri matokeo sahihi ujipatie shilingi elfu 5. Mshindi atakuwa mmoja tu na wa kwanza kutabiri kwa usahihi.

Mwisho wa kuweka utabiri wako ni saa 9:00 (saa tisa kamili) mchana baada ya hapo ubashiri wako hautakuwa halali. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Haya tiririka na kuserereka...

🚨🚨🚨🚨🚨
Updates:
Mshindi wetu ni Cetshwayo Kampande ambapo alitabiri vyema katika comment namba 7 na ameshakabidhiwa mzigo wake
 
A frog holding a tro.jpg
 
Back
Top Bottom