Tabiri matokeo sahihi ya mechi ya fainali ya Yanga Vs Azam na ujishindie elfu tano

Tabiri matokeo sahihi ya mechi ya fainali ya Yanga Vs Azam na ujishindie elfu tano

Dah! Ila Azam wana kikosi kizuri kama Yanga. Eneo la kiungo na ushambuliaji wako vizuri sana. Yule Prince Dube ni mshambuliaji hatari, na wa kumchunga muda wote. Bado kuna dogo mkamiaji Sopu!!

Aisee mchezo hautakuwa mwepesi hata kidogo kwa Wananchi. Naigopa hata kutabiri.
Sema tu unawaona Simba wakiwa wapi baada ya hii mechi
 
Yanga wasiposhinda hii mechi nifukuzwe humu jukwaani nimekaa pale
 
Au sio tabu ya nini nasubiri ku edite match ikiisha.niji shindie buku 5 yako...oooops nme toa siri kumbe
 
Back
Top Bottom