Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba shirikisho...kama nawaona watakavyopambana na hilo waliloliita looser cup!Azam 3 yanga 0
Halafu baada ya hapo? Maana mshindi lazima apatikane0 - 0 FT
Sema tu unawaona Simba wakiwa wapi baada ya hii mechiDah! Ila Azam wana kikosi kizuri kama Yanga. Eneo la kiungo na ushambuliaji wako vizuri sana. Yule Prince Dube ni mshambuliaji hatari, na wa kumchunga muda wote. Bado kuna dogo mkamiaji Sopu!!
Aisee mchezo hautakuwa mwepesi hata kidogo kwa Wananchi. Naigopa hata kutabiri.
Christopher Wallace Chagua upande[emoji1666]
🤝Azam 2 yanga 1.
Ft
🤣Simba shirikisho...kama nawaona watakavyopambana na hilo waliloliita looser cup!
👏🏽Halafu baada ya hapo? Maana mshindi lazima apatikane
Sema tu unawaona Simba wakiwa wapi baada ya hii mechi
😂Azam anashinda
🤣Azam wasiposhinda hii mechi nifukuzwe humu jukwaani nimekaa pale
🤝Yanga 1 Azam 0 ft
🤝azam 3 yanga 2