Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Umewahi sana Mkuu. 😅Hahaha nimeshaagiza diko bar,asipotuma naumbuka,napigishwa deki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Umewahi sana Mkuu. 😅Hahaha nimeshaagiza diko bar,asipotuma naumbuka,napigishwa deki
Nomaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha
Mikeka mingine ndio hivyo ipo,dakika tisini zikiisha tu unachukua chako,hii naona inachelewa hahahaHahahaaa. Umewahi sana Mkuu. 😅
Kama utaamia yanga,nakurushia bukuNomaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera mkuu, tunafanya mawasiliano na wewe tukupatie zawadi yako kidha uje uthibitishe kwa wadau hapa👏🏽👏🏽Yanga 1 Azam 0
Sawa sawa mkuu,sitoki online ,simu nimeweka kwenye socket kabisa ,isije zima,nikachelewa kupata mzigo huo hahaHongera mkuu, tunafanya mawasiliano na wewe tukupatie zawadi yako kidha uje uthibitishe kwa wadau hapa👏🏽👏🏽
Kwa io mi yangu hujaiona sio, kama Kuna mdau ana shida na buku 5 anichek pm, then ntampa namba huyu jamaa amuwekee buku 5 maana nimetabiri sahihiHongera mkuu, tunafanya mawasiliano na wewe tukupatie zawadi yako kidha uje uthibitishe kwa wadau hapa👏🏽👏🏽
wakikupa nigawie buku wasipo kupa ni pm nikutumie vocha ya jeloSawa sawa mkuu,sitoki online ,simu nimeweka kwenye socket kabisa ,isije zima,nikachelewa kupata mzigo huo haha
Soma vizuri ,alisema mshindi ni mmoja ,wa kwanza kutabiri,kwa hiyo angalia muda ,uko sawa na Mimi kweli,lakini Mimi nilikua wa kwanzaKwa io mi yangu hujaiona sio, kama Kuna mdau ana shida na buku 5 anichek pm, then ntampa namba huyu jamaa amuwekee buku 5 maana nimetabiri sahihi
Kasome tena vigezo na masharti kuzingatiwaKwa io mi yangu hujaiona sio, kama Kuna mdau ana shida na buku 5 anichek pm, then ntampa namba huyu jamaa amuwekee buku 5 maana nimetabiri sahihi
UmeshindaYanga 1 Azam 0
Jazia muamala Sasa hahahUmeshinda
Vigezo vilisema mshindi atakuwa mmoja tu na wa kwanza kutabiri.Yanga 1 Azam 0 ft
Angeshinda azam ningeongeza sifuri moja hapoJazia muamala Sasa hahah
Hahaha dah,hakuna yanga mmoja ajilipue aongeze sifuri moja .itakua wewe simbaAngeshinda azam ningeongeza sifuri moja hapo
ThubutuuuuuuKama utaamia yanga,nakurushia buku
Endelea kujiua kwa pressureThubutuuuuuu