Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

Angalia hapa Kwa makini

Putin baada ya kushindwa atatangaza gwaride fake la kwamba azma yake ilikuwa Siri na kaitimiza..

Zelensky ataendelea kuwa Rais wa Ukraine

Ukraine wata imarika zaidi mpaka kufikia 2026

Ukraine anakuwa mwanachama wa EU rasmi

Russian Ruble itapanda thamani Kwa Muda mpaka December 2022 Lakin baadae inaanza kushuka, kwakuwa thamani yake imependa kutokana na kitu kinaitwa Peg situation ya muda mfupi na ukipatikana mfumo mbadala itakuwa inarejea Kwa nafasi yake na pengine kushuka zaidi

Kuna mataifa yataimarisha uhusiano na Ukriane kijeshi na kiuchumi hasa UK na US ..

Macron alisubiria uchaguzi uishe ili sasa aanze kuonesha upande wake ambao nadhani probably atafuata wakubwa wanataka nini…

Putin atadhoofika sana na inawezekana asiongoze Urusi Kwa Miaka mingine mitatu Yaan ama Kwa kuuwawa kiujanja Au kufa mwenyewe before 2025 …

Mbaya zaidi wakaingia Urusi vibaraka wa magharibi ambao watafanya uchumi urejee kawaida ila chini ya Uangalizi wa wajomba!!!

MOSCOW Mashambulizi yataendelea sana hasa Kwa Mwezi Mei 2022 … mioto ya kushangaza na mashambuliz yataanza kwakuwa silaha wanazopewa Ukraine watawashwa kuzitumia…


Mbaya zaidi Uchumi wa Urusi Kwa miezi 24 utashuka sana na Atakuwa chini ya ama china Kwa namna fulani…..

Kuna ma senior wataanza kumgeuka Putin na kukimbia nchi ….


Britanicca
Nonsense
 
Kwan kiev sio kwamba hatak ingia ila anaingiaje kwa mfano, si rahis kabisa kama tuonavyo

Screenshot_20220501-020759.png


Screenshot_20220501-020505.png


Screenshot_20220501-020358.png


Screenshot_20220501-015953.png


Screenshot_20220501-015854.png


Screenshot_20220501-015832.png


Screenshot_20220501-015518.png


Screenshot_20220501-015432.png
 
Kwa mtazamo wangu

1: Hakutakuwa na WW3
2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha.
Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake.

3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo mwanzo. Chochote atakachosema hakuna wa kupinga.

4: USA watakuwa na nchi fuasi nyingi ambazo zikishirikiana kukuwekea vikwazo mbishi siku mbili ni nyingi unasalimu amri bila kurusha hata risasi moja.


Hii ndio trend yangu na utabiri wangu wa matokeo ya vita hii na madhara yake katika dunia.


Ili iwe tofauti, Russia atangaze VITA kamili. Aanze kushambulia moja kwa moja bila kuzungukazunguka na kudonoadonoa. Aweke pamba sikioni aingie kyiv aangushe serikali. Na hiki akifanye ndani ya mwezi mmoja tu. Akiendelea hivi hayo hapo juu yatatokea.
Wewe unatabiri nini?
the future coming, there will be riots and revolts in Russia and Putin will be puted downward through coup d'etat
 
Back
Top Bottom