Taboa: Nauli za mabasi zitaendana na uzito wa mtu

Hapa lazima watu wafanye mazoezi kwa lazima,nafikiria nauli ya Dar-Dom sh.25,000.00,ukiwa na kitambi 40,000.00 na mimi nisie na kitambi 15,000.00 [emoji23],walikuwa wananicheka sina kitambi sasa hivi wataniona bonge la mjanja...
Hii ni habari njema kwa sisi vimbaumbau...........hahhahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…