Taboa: Nauli za mabasi zitaendana na uzito wa mtu

Taboa: Nauli za mabasi zitaendana na uzito wa mtu

Asante sana TABOA sasa ratiba yangu itakuwa hiv:
👉bukoba to dar kwa 20,000 tu badala ya 60,000.
👉mwanza to bukoba 500 badala ya 20000 naenda kufata senene.
👉 Bukoba to singida kwa 1500 naenda kufata mafuta ya alizeti
👉 Bukoba to kigoma kwa 800/= naenda kuchukua mawese
👉 Bukoba to mbeya 20500/= naenda kuangalia shamba langu la cocoa.
👉Bukoba to Zanzibar 20300 badala ya 80000. Naenda kupumzikia na kuchukua viungo.
👉 Bukoba to moshi 20000 naenda kupanda mlima Kilimanjaro.

Mbona raha yan nikiwa na laki 2 nazunguka tanzania nzima.
Nitajivunia kwa kuwa kimbau mbau

Naomba na lodge tuingie kwa kupimwa uzito pia
 
Wawahi fasta na huo utaratibu Arusha - Dar nitalipa buku 3. Nimedhulumiwa kwa mda mrefu sana kamwili sindano halafu unawekwa na jitu pipa halafu wote mmelipa nauli sawa na bado hukai kwa raha
 
[emoji23][emoji23] naona wamechagua lugha isiyo na ukakasi kidogo. Kwa hiyo kila basi litakuwa na mzani?

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23]
Aibu kwa Kweli
Yaani watu watafanya diet ya nguvu baada ya kupanda mzani huku watu wanakodoa jicho kuona una kilo ngapi
Yaani vituko haviishi
Kweli mtu mnene amelipishwa nauli kubwa halafu anaenda tena kukaa kwenye vile viti vya kubana ni haki
Nawahurumia kwa Kweli [emoji56][emoji1787][emoji1787]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom