una kilo ngapi mkuu?Duh! Hii sio aina ya ubaguzi kweli!
Kabisaaa. ππNa sie fito, tutakuwa twasafiri bure kabisaaa πππ
89,urefu 5.6una kilo ngapi mkuu?
Kiti cha nyuma wembamba wanakaa 4 wanene 3View attachment 1455526
Vitambi sasa basi, corona inawapenda wenye vitambi na kwenye usafiri wana nyanyasika.
πππTuitafutie tiba