Tabora: Ahukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya ulawiti

Huyo jamaa hakuwa mzima, anawezaje kufanya tendo la aina hiyo hadharani? Ni mtu asiye na akili kamilifu nfiyo anayeweza kufanya wendawazimu huo hadharani.

Vv
 
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti mtu mzima hadharani huku watu wakishuhudia kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mke wake.

Akitoa hukumu hiyo leo Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora Sigwa Mzige mahakama imeona kifungo hicho kwa mshitakiwa kimstahili kwani alifanya unyama usiweze kuvumiliwa na jamii.

Alisema kifungo hicho kitakuwa fundisho kwa mshitakiwa huyo na wengine wenye nia ya kuwadhalilisha watu wengine kutokana na wivu wa mapenzi.

Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya Tabora Sigwa Mzige alìiambia Mahakama hiyo ushahidi uliotolewa ulitolewa mbele ya Mahakamani hiyo umeonyesha hauna shaka yoyote ukilinganisha na ushaidia uliotolewa na Mtuhumiwa Mwenyewe, Daktari ambae alithibitisha kutokana na Vipimo vya aliye lawitiwa alipata Michubuko na alipewa dawa ya Misuli.

“Mahakama zote Nchini zinafanyakazi vizuri kuhakikisha kila Mtuhumiwa analetwa hapa kwa Makosa mbalimbali kila kosa moja lina adhabu yake,” Mzige alisema.

Awali Wakili wa Serikali Robert Kumwembe aliiambia Mahakama hiyo kwamba Mshitakiwa ni Mkosaji wa Mara ya kwanza anapaswa kupata adhabu ya hiyo ya kwenda jela Maisha.

Wakili huyo aliambia mahakama hiyo kwamba Mtuhumiwa alipatikana na kosa la kumlawiti mtu Mzima ( Jina limehifadhiwa ) mnamo 30 January 2022 katika maeneo ya Kidatu “B” mkoani Tabora.

IPP Media
Jamaa shoga nini?
 
Duuh! Hadharani? 🤔

Inabidi wananchi wa hilo eneo wachunguzwe aisee.
 
Huyo aliepigwa pipe nae atakua bwabwa. Yani upigwe pipe hadharani na wewe umetulia tu.

Yena na mtu mmoja.
 
Nawaza tu hiyo Hadharanii kasimamisha mashine kaingiza kwenye tigo ya mwenzake.

Hio hadhara ilikuwa na watu wa aina gani? Walikuwa wanashangilia ama wanasikitika ?
Unyamwezi wazawa kushuhudia mtu wa kuja akifanyiwa jambo baya kwao ni sherehe.
 
Duuh! Hadharani? [emoji848]

Inabidi wananchi wa hilo eneo wachunguzwe aisee.
Unatembea na mke wa mtu unaonywa husikii

Sasa wananchi waingilie ili iweje wakati inajulikana hio.ndio adhabu yake kwa mtu aliyeshikwa ugoni

Sema huyo alikosea kufanya hadharani wengine wanapigwa kimya kimya huko wanajikausha wanaacha hio tabia
 
Jamaa kamtoa masega mwenzie hadharani na hiyo jamii ya hapo nayo ilikua inatazama tu mtu anafumuliwa masega? Kuna tatizo pahala
 
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti mtu mzima hadharani huku watu wakishuhudia kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mke wake.

Akitoa hukumu hiyo leo Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora Sigwa Mzige mahakama imeona kifungo hicho kwa mshitakiwa kimstahili kwani alifanya unyama usiweze kuvumiliwa na jamii.

Alisema kifungo hicho kitakuwa fundisho kwa mshitakiwa huyo na wengine wenye nia ya kuwadhalilisha watu wengine kutokana na wivu wa mapenzi.

Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya Tabora Sigwa Mzige alìiambia Mahakama hiyo ushahidi uliotolewa ulitolewa mbele ya Mahakamani hiyo umeonyesha hauna shaka yoyote ukilinganisha na ushaidia uliotolewa na Mtuhumiwa Mwenyewe, Daktari ambae alithibitisha kutokana na Vipimo vya aliye lawitiwa alipata Michubuko na alipewa dawa ya Misuli.

“Mahakama zote Nchini zinafanyakazi vizuri kuhakikisha kila Mtuhumiwa analetwa hapa kwa Makosa mbalimbali kila kosa moja lina adhabu yake,” Mzige alisema.

Awali Wakili wa Serikali Robert Kumwembe aliiambia Mahakama hiyo kwamba Mshitakiwa ni Mkosaji wa Mara ya kwanza anapaswa kupata adhabu ya hiyo ya kwenda jela Maisha.

Wakili huyo aliambia mahakama hiyo kwamba Mtuhumiwa alipatikana na kosa la kumlawiti mtu Mzima ( Jina limehifadhiwa ) mnamo 30 January 2022 katika maeneo ya Kidatu “B” mkoani Tabora.

IPP Media
du!!!!!.........noma sana!!
 
Hii habari inatisha sana🤣,kumbe hata kama hupigwagi ila li mtu linaweza kukukaza tu first time, au victim alikuwa alishazoea hiyo michezo
 
Achaneni na wake za watu, mtaolewa sana mkiendelea kutolea macho wake za watu, na nyinyi wake za watu kataeni mnapotongozwa mnatia watu majaribuni, mtu umeolewa unaleta macho kodo
 
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti mtu mzima hadharani huku watu wakishuhudia kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mke wake.

Akitoa hukumu hiyo leo Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora Sigwa Mzige mahakama imeona kifungo hicho kwa mshitakiwa kimstahili kwani alifanya unyama usiweze kuvumiliwa na jamii.

Alisema kifungo hicho kitakuwa fundisho kwa mshitakiwa huyo na wengine wenye nia ya kuwadhalilisha watu wengine kutokana na wivu wa mapenzi.

Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya Tabora Sigwa Mzige alìiambia Mahakama hiyo ushahidi uliotolewa ulitolewa mbele ya Mahakamani hiyo umeonyesha hauna shaka yoyote ukilinganisha na ushaidia uliotolewa na Mtuhumiwa Mwenyewe, Daktari ambae alithibitisha kutokana na Vipimo vya aliye lawitiwa alipata Michubuko na alipewa dawa ya Misuli.

“Mahakama zote Nchini zinafanyakazi vizuri kuhakikisha kila Mtuhumiwa analetwa hapa kwa Makosa mbalimbali kila kosa moja lina adhabu yake,” Mzige alisema.

Awali Wakili wa Serikali Robert Kumwembe aliiambia Mahakama hiyo kwamba Mshitakiwa ni Mkosaji wa Mara ya kwanza anapaswa kupata adhabu ya hiyo ya kwenda jela Maisha.

Wakili huyo aliambia mahakama hiyo kwamba Mtuhumiwa alipatikana na kosa la kumlawiti mtu Mzima ( Jina limehifadhiwa ) mnamo 30 January 2022 katika maeneo ya Kidatu “B” mkoani Tabora.

IPP Media
alimfunga kamba au alimpa dawa za kulevia ilikuwaje fafanua bhana unaandika kama unakimbizwa haya rudi kaandike vizuli
 
Back
Top Bottom