playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Mashetani tu yamekujaa.
Lakini pia kama angekuwa wa CHADEMA tungesema amechakatwa mapanga na CCM.Kwa kuwa ni diwani wa CCM, msako mkali kutafuta wahusika na 6 wako mbaroni tayari!
Angekuwa wa upinzani sio rc wala police wote kimyaaa kana kwamba haiwahusu.
Tabora wameanza vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwisho utasikia 'chanzo cha kifo chake ni wivu wa kimapenzi'.Kwa kuwa ni diwani wa CCM, msako mkali kutafuta wahusika na 6 wako mbaroni tayari!
Angekuwa wa upinzani sio rc wala police wote kimyaaa kana kwamba haiwahusu.
Tabora wameanza vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni vibaya mwanaccm mmoja akifa??Mashetani tu yamekujaa.
Ngoja ndugu yako akatwe katwe mapanga hadi kufa afu usikie mtu anasema sio mbaya lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nchi hii kuna watu wanauwa kama wanaccm na UVCCM? Akikatwa mapanga mtu sio majambazi tena. Siku hizi majambazi wote wako CCM kule kuna immunity.Lakin pia kama angekuwa wa CHADEMA tungesema amechakatwa mapanga na CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, swala hapa sio ccm wala cdm. Vyombo vya usalama hasa polisi (usalama wa raia) vinapaswa kuhakikisha vinalinda na kusimamia usalama na uhai wa raia wote wa nchi hii bila kuwabagua na bila kuingiliwa na wanasiasa.Lakin pia kama angekuwa wa CHADEMA tungesema amechakatwa mapanga na CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaudhi sana hawa watu. Mi nasema, kama kweli wapinzani ndo wamefanya tukio lile, basi wameanza kujitambua.Na mwisho utasikia 'chanzo cha kifo chake ni wivu wa kimapenzi'.
What if angekufa? Huo ushirikiano ni upi mnaotaka?Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaee! Shenzi sana hawa jamaa.Safi umetisha sana boss mwendo uwe huohuo tu..wakomeshane juzi Katibu mkuu wao anasimama anazungumza namna wanavyoweza kutumia dola kubaki madarakan wanasahau hata hao maaskar ni binadamu tu watu wakiamua wanadili nao vizuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie rc usubiri diwani wa ccm afufuke ili aje atoe ushirikiano ndipo msako uanze.Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana kuona wingu la chuki na visasi likitanda, mvua yake itakuwa ni damu zisizo na hatia. Mungu epushia mbali.