The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
kwa hiyo TFS nao ni askari? hivi mbona jeshi limekuwa jepesi sana siku hizi? hao ni askari au raia wakakamavu?Askari watatu wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na mgambo wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Grace Mussa (4) katika Kijiji cha Mpanda Mlowoka wilayani Kaliua, mkoani Tabora...
Sasa usichojua hao wanapewa mafunzo ya Kijeshi.kwa hiyo TFS nao ni askari? hivi mbona jeshi limekuwa jepesi sana siku hizi? hao ni askari au raia wakakamavu?
Hata kama ndio umpige mtu risasi kumuua!?Wana jamvi, nimepata taarifa kwamba askari wa wakala ya usimamizi wa huduma za misitu TFS waliokuwa wakifanya kazi kwenye msitu wa Muyowosi Wilayani Kaliua, Tabora wanadaiwa kumuua mtoto aliyefahamika kwa jina la Grace Mussa wakidai kwamba alikuwa akifanya shughuli za kilimo eneo la hifadhi.
Kamanda wa Polisi Tabora Richard abwao amethibitisha kifo hicho.
Nadhani hakunaKuna kipindi au awamu watu waliwahi kuuwa kama hiki tangu uhuru kweli?
Kilimo ni sehemu ya shule!Mtoto baada ya kwenda shule, anapelekwa kwenye shughuli za kilimo. 🤔🤔🤔
Wana jamvi, nimepata taarifa kwamba askari wa wakala ya usimamizi wa huduma za misitu TFS waliokuwa wakifanya kazi kwenye msitu wa Muyowosi Wilayani Kaliua, Tabora wanadaiwa kumuua mtoto aliyefahamika kwa jina la Grace Mussa wakidai kwamba alikuwa akifanya shughuli za kilimo eneo la hifadhi.
Kamanda wa Polisi Tabora Richard abwao amethibitisha kifo hicho.
Kuna kipindi au awamu watu waliwahi kuuwa kama hiki tangu uhuru kweli?