Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
. Kwa hiyo mimi ni dada ako siyo?? 🤔 🤔..Sawa Dada yangu kama unaniona mimi sina akili, lakini kwa binti mkubwa kama wewe ambae umeshavunja ungo hauwezi kuandika maneno kama hayo hasahasa kwa binti mdogo ambae amepigwa risasi.
. Na je ulisoma habari mara ya kwanza kabla haijahaririwa na moderator??
. Kwamba na wewe watoto wa awali (miaka 5 - 6) huwa unawapeleka kwenye kilimo??