. Kwa hiyo mimi ni dada ako siyo?? π€ π€..Sawa Dada yangu kama unaniona mimi sina akili, lakini kwa binti mkubwa kama wewe ambae umeshavunja ungo hauwezi kuandika maneno kama hayo hasahasa kwa binti mdogo ambae amepigwa risasi.
Huyu naye khee! Kumbe humu kuna wanaojifunza sheria kwa kutumia maoni yetu, eti wanakwepa ada.
Ngumu kujiandaa kwani zitakuja robots ambazo ni mahili kutongoza, zitakomba wanawake wote wazuri.The usher of AI technology, lawyers and other professionals will soon become redundant. Umejiandaaje kwa hili Mkuu?
. Kwa hiyo mimi ni dada ako siyo?? π€ π€..
. Na je ulisoma habari mara
Dada yangu kwa kuwa nawe ni WP lazima uwe na chongo tu, hauwezi kuona. Sawa tufanye huyo mkubwa alikuwa ni sahihi kupigwa je huyo mtoto wa miaka 4 hapo vipi ?Huyo lofa anaitwa Sandu nani alimtuma kwenda kulima ndani ya hifadhi. Ilitakiwa afe yeye, askari walikuwa wanatimiza wajibu wao, watu watii sheria bila shuruti. Hizo tabia za kipuuzi kutaka kushindana na maaskari mwisho wake mbaya, kutafafanya nchi isitawalike. Wapigwe tena mbaya sn. Askari hawawezi kufanywa lolote
Nimekusoma mkuuModerator wamehariri habari, mara ya kwanza ilisomeka hivyo kuwa mtoto mdogo alikuwa shamba analima....
Du Huyu mwamba angeendelea kuwepo tungeheshimiana