kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
- Thread starter
- #21
Jamaa kajinyonga usiku wa jana na kuacha ujumbe kuwa asilaumiwe mtu ni maamuzi yake mwenyeweMsitutishe bana... haya hebu malizia stori sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kajinyonga usiku wa jana na kuacha ujumbe kuwa asilaumiwe mtu ni maamuzi yake mwenyeweMsitutishe bana... haya hebu malizia stori sasa
Akhera ni wapi shehe?Elimu baada ya kifo itolewe.Watu wanachukulia rahis kifo.Wanafikiri wakishakufa wanakua wamesolve tatizo/matatizo.Elimu akhera muhimu Sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akhera ni wapi shehe?
Hakipo icho kitu ni wajanja fulani walioamua kutengeneza hiyo dhana ili kudhibiti na kutawala watu wengine kupitia uogaElimu baada ya kifo itolewe.Watu wanachukulia rahis kifo.Wanafikiri wakishakufa wanakua wamesolve tatizo/matatizo.Elimu akhera muhimu Sana.
JfInawezekana ni mtu kamsaidia kuandika huo ujumbe...
Unavyofikiria ukifa unaota tena kama muhindi? Kiongozi kifo sio rahisi rahis kama watu wanavochukulia.Hujiulizi kwanini wengine wanakutwa Hadi wamejinyea/kujikojolea?Hakipo icho kitu ni wajanja fulani walioamua kutengeneza hiyo dhana ili kudhibiti na kutawala watu wengine kupitia uoga
mkuu huko unapopasemea umeshawahi kwenda ??.au kuna waliowahi kufa wakafufuka ndo wakaja na elimu akhera.Elimu baada ya kifo itolewe.Watu wanachukulia rahis kifo.Wanafikiri wakishakufa wanakua wamesolve tatizo/matatizo.Elimu akhera muhimu Sana.
Yesu,alikufa akafufuka.mkuu huko unapopasemea umeshawahi kwenda ??.au kuna waliowahi kufa wakafufuka ndo wakaja na elimu akhera.
kuelezea kitu ambacho ww mwnyew hujawah fika huo ni uhuni tu.
Hii mbavu ingebaki kwetu cjui ingekuaje dunianiHapa ukichimba sana lazima mwanamke anahusika,, wanawake mtafika mbinguni mmechoka sana
Alipewa mafunzo saa ngapi au walikuwa na makarani wa akibaBaada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.
Sijakuelewa mkuu.Jf
FBI
Ukifa ndio umepotea hivyo Hii ndio point yangu. Hakuna cha akhera wala nini hizo ni heresy kama za Alfu lela u lela na hadithi za AbunuwasiUnavyofikiria ukifa unaota tena kama muhindi? Kiongozi kifo sio rahisi rahis kama watu wanavochukulia.Hujiulizi kwanini wengine wanakutwa Hadi wamejinyea/kujikojolea?