Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

Karani Wa Sensa Ajinyonga Kwa Kamba Ya Katani Huko Mkoani Tabora
Na Kuacha Ujumbe Ulisomeka Ni Wivu Wa Mapenzi

Ngoswe itakuwa kazama mapenzini kasahau kazi aliyotumwa.
 
[emoji16][emoji16] mkuu...roho ya mtu imepotea wewe unawaza kishkwambi
Imepotea au imejipoteza? Angerudusha kishkwambi kwanza asikwamishe zoezi la sensa wengine hatujahesabiwa
 
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.

Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.

Chanzo: UTV
Basi tumtakie safari njema kikubwa amesema asilaumiwe ntu
 
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.

Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.

Chanzo: UTV
Mbona picha ya bro Edmund inanitia shaka, huyu anayeonekana ni mama mtu mzima sana na sijui kama angeiweza mizunguuko.
 
Amerudisha hapo.mapenzi ,Stress vimefanya yake maan kama ajira amepata tena mbili ya ualimu na Sensa.
Mapenzi yamekuondoa mwamba, labda atakuwa alienda kuhesabisha akakuta mkewe anahesabiwa na njemba
 
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.

Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.

Chanzo: UTV
Tabia ya kuweka reserves kweny kazi yoyote yenye pesa ni nzuri katika kufanikisha kazi,Ila nimbaya kwa washiriki wa kazi yenyewe.
Mtu anaambiwa"usiwe mbali lolote likitokea kwa waliopo kazini utachukua nafasi".
Hapa Kuna watu hutumia hii nafasi kusababisha hilo"LOLOTE" kwa wenzao ili wapate hiyo nafasi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Huyo karani mwingine alipata mafunzo yale ya wiki 3?
Alipatikanaje?
Kama hajapata yale mafunzo na ameanza kazi basi serikali iseme kuwa Yale mafunzo hayakuwa na umuhimu zaidi ya kugeuzwa njia ya kugawa pesa kwa vijana
 
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.

Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.

Chanzo: UTV
Huyo kauwawa, asilaumiwe mtu ndio nini sasa, huyo asiyetaka kulaumiwa ndie kaandika huo ujumbe, uchunguzi ufanyike
 
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.

Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.

Chanzo: UTV
Aliyepewa nafasi yake achunguzwe, (kidding)
 
Vile binadamu tunavyotamani kuishi hata kama tunapitia maisha magumu kiasi hiki, mtu alifikia hatua ya kujinyonga ujue hali ilikua ngumu sana, ajaliwe pumziko jema la milele.
 
Back
Top Bottom