Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

Mwingine naye leo kakamatwa mbeya alichukua shilingi laki sita 600000
Awamu ya kwanza akaingia mitini
Then awamu ya pili ya malipo akaja chukukua nyingine,hatimaye akaibukia mikononi mwa makarao kwa kula mali asiyoifanyia kazi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kama alijua ana mpango wa kujinyonga kwann aliomba nafasi ya Kazi ajui kawabania wengine nafasi
 
Tatizo la self awareness kwa watanzania ni kubwa sana yaani mtu kahitimu chuo wengine watumishi wa uma anaibiwa kishikwambi kirahisi hvyo.
 
Back
Top Bottom