Mwingine naye leo kakamatwa mbeya alichukua shilingi laki sita 600000
Awamu ya kwanza akaingia mitini
Then awamu ya pili ya malipo akaja chukukua nyingine,hatimaye akaibukia mikononi mwa makarao kwa kula mali asiyoifanyia kazi [emoji1][emoji1][emoji1]